-
Wito wa Umoja wa Mataifa kuhusu usitishaji vita wa kudumu huko Gaza na onyo la kuenea mapigano
Nov 30, 2023 09:43Siku ya Jumanne, ikiwa ni siku ya tano ya usitishaji vita wa muda huko Gaza, Umoja wa Mataifa ulifanya vikao viwili, kimoja katika Baraza Kuu kuhadili vita kati ya Israel na Hamas na kingine katika Baraza la Usalama kuhusu hali ya Mashariki ya Kati na Syria, ambapo vikao vyote viwili vilizungumzia kuenea mapigano katika eneo na kusisitiza juu ya udhrura wa kutekelezwa usitishaji vita wa kudumu.
-
Russia yailaumu Marekani kwa mgogoro wa Gaza
Nov 30, 2023 03:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema Marekani inapasa kubebeshwa dhima ya mgogoro baina ya Palestina na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Algeria kuwa mwenyeji wa mkutano wa kujadili njia za kuishtaki Israel ICC
Nov 28, 2023 06:17Algeria imejiunga na orodha ya nchi zinazotaka kufanyike uchunguzi kuhusiana na jinai za kivita zilizofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza, na kushtakiwa utawala haramu katika vyombo vya kimataifa.
-
Al Jazeera: Vita vya Gaza vinaweza kuwa mwanzo wa kuporomoka, lakini si kwa Wapalestina
Nov 28, 2023 02:32Mchambuzi mmoja maarufu wa televisheni ya Al Jazeera ya Qatar amesema kuwa, kama tunataka kuvichambua vita vya Gaza kwa kuzingatia matukio ya hivi karibuni, inatosha kwetu kuangalia siku nne kabla ya kufanyika operesheni ya #Kimbunga_cha_al-Aqsa na kabla ya HAMAS kushambulia maeneo ya kusini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Israel yaendelea kushambulia hospitali na kambi za wakimbizi Gaza
Nov 23, 2023 03:07Kwa akali Wapalestina 100 waliuawa shahidi jana Jumatano na usiku wa kuamkia jana katika mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
BRICS, kwa ombi la Iran, kufanya mkutano wa dharura kujadili Gaza
Nov 21, 2023 03:16Kufuatia pendekezo la Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kundi la BRICS linatazamiwa kufanya mkutano wa dharura kujadili vita vya uvamizi vya Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Mfalme wa Jordan ataka kusitishwa vita mara moja Gaza
Nov 20, 2023 03:58Mfalme Abdullah II wa Jordan ameitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua za dharura za usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza, ili kuzuia kutokea janga kubwa la kibinadamu katika eneo hilo la Wapalestina lililozingirwa.
-
Raisi: Damu za mashahidi wa Palestina zitaleta nidhamu ya dunia yenye uadilifu
Nov 19, 2023 14:36Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema 'nidhamu mpya ya dunia yenye uadilifu' itaibuka kutokana na damu za wananchi wa Palestina zilizomwagwa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika vita vyake vya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
Iran: US ndiyo sababu ya kushtadi mgogoro Ukanda wa Gaza
Nov 18, 2023 03:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haitaki vita vya Gaza vipanuke, lakini yumkini vitasambaa zaidi katika maeneo mengine kwa kuwa Marekani inachochea mgogoro huo kwa kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Upinzani wa Wamagharibi kwa usitishaji vita Gaza
Nov 14, 2023 09:23Licha ya kupita karibu siku 40 tangu ilipotokea operesheni ya kimbunga ya Al-Aqswa na radiamali ya utawala wa Kizayuni kwa operesheni hiyo kwa kushambulia kwa mabomu Ukanda wa Gaza na kuuawa maelfu ya Wapalestina na uharibifu mkubwa wa eneo hilo, lakini baadhi ya madola ya Magharibi yakifungamana na Waziri Mkuu wa utawala huu, Benjamin Netanyahu, bado yangali yanapinga usitishaji wa vita hivi vya umwagaji damu.