-
Russia: Wamagharibi karibuni watamtosa Rais Zelensky wa Ukraine
Jun 21, 2024 02:15Idara ya Intelijensia ya Nje ya Russia (SVR) imefichua kuwa, Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine ni mwanasiasa tegemezi kwa Magharibi, na kwamba karibuni hivi, Marekani pamoja na waitifaki wake 'watamtoa kafara' kiongozi huyo pasi na kujali kitu chochote.
-
Russia: Ukraine katu haitajiunga na shirika la kijeshi la NATO
Jun 19, 2024 12:17Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema ni jambo lisiloyumkinika kwa Ukraine kuwa mwanachama wa shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO.
-
Mkuu wa NATO: Hatutatuma wanajeshi Ukraine
Jun 07, 2024 02:45Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO amesema muungano huo wa kijeshi wa Wamagharibi hauna mpango wa kutuma wanajeshi wake nchini Ukraine.
-
Mbunge wa Marekani: Biden ni punguani, hana akili timamu
Jun 01, 2024 08:03Wawakilishi wawili wa Marekani wamekosoa vikali uamuzi wa Joe Biden wa kuondoa vikwazo kwa Kiev vya kutumia silaha za Marekani kushambulia ardhi ya Russia.
-
Biden airuhusu Ukraine ishambulie maeneo ya Russia kwa silaha za Marekani, aikasirisha Moscow
May 31, 2024 09:58Rais Joe Biden wa Marekani amelegeza marufuku aliyokuwa ameiwekea Ukraine na kuiruhusu kutumia silaha za Washington kushambulia ndani ya ardhi ya Russia ili kuisaidia kulinda eneo lake la kaskazini mashariki la Kharkiv dhidi ya mashambulizi.
-
Askari 1,400 wa Ukraine wauawa Donetsk, Luhansk ndani ya saa 24
May 14, 2024 10:24Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza habari ya kuuawa wanajeshi 1,400 wa Ukraine katika muda wa saa 24 katika maeneo ya mashariki ya Luhansk na Donetsk, yaliyojitangazia uhuru mwaka 2014, baada ya kutokea mapinduzi nchini Ukraine.
-
Bunge la Ukraine laidhinisha mpango wa kusajiliwa wafungwa jeshini
May 09, 2024 02:29Bunge la Ukraine limepasisha muswada wa sheria inayoruhusu kukusanywa na kusajiliwa jeshini wafungwa wa nchi hiyo.
-
UN: Kombora la balestiki la Korea Kaskazini limetumika kushambulia mji wa Kharkiv, Ukraine
Apr 30, 2024 07:21Wachunguzi wa vikwazo wa Umoja wa Mataifa wameiambia kamati ya vikwazo ya Baraza la Usalama la umoja huo kuwa, mabaki ya kombora yaliyopatikana katika mji wa Kharkiv nchini Ukraine mnamo Januari 2 yanatokana na kombora la balestiki la Korea Kaskazini aina ya Hwasong-11.
-
Waziri wa Ulinzi wa Russia: Ukraine imeshapoteza karibu askari nusu milioni
Apr 24, 2024 02:43Waziri wa Ulinzi wa Russia Sergey Shoigu amesema, hasara za kijeshi ilizopata Ukraine za kuuawa askari wake tangu Februari 2022 hadi sasa zimefikia karibu wanajeshi 500,000.
-
Onyo jipya kuhusu kuingia NATO katika vita vya Ukraine
Apr 23, 2024 04:25Viktor Orbán, Waziri Mkuu wa Hungary amesema katika taarifa kwamba viongozi wa Umoja wa Ulaya na Jumuiya ya Kujihami ya Kijeshi ya Magharibi (NATO) wanauchukulia mzozo wa Moscow na Kyiv kuwa ni wao na wala hawazingatii hatari ya kujihusisha na mzozo huo. Ameonya kuwa NATO inakaribia kutuma askari wake huko Ukraine.