-
Jumamosi, 24 Agosti, 2024
Aug 23, 2024 22:40Leo ni Jumamosi 19 Mfunguo Tano Safar 1446 Hijria mwafaka na 24 Agosti 2024 Milaadia.
-
Putin aamua kusimamisha kikamilifu mazungumzo na Ukraine baada ya Kyiv kuivamia Russia
Aug 13, 2024 07:14Rais Vladimir Putin wa Russia ameamua kusimamisha kikamilu mazungumzo na Ukraine baada ya nchi hiyo kushambulia taasisi za nyuklia za Russia.
-
Marekani yahamisha silaha zilizopigwa marufuku kutoka Ujerumani kwenda Ukraine
Jul 28, 2024 04:34Vyombo vya habari vya Ujerumani vimefichua kuwa nchi hii inahifadhi mabomu yaliyopigwa marufuku ya vishada ya Marekani na kwamba inapanga kuyahamishia Ukraine.
-
Kan’ani: Madai ya NATO ya Iran kuisaidia Russia katika vita vya Ukraine hayana msingi wowote
Jul 11, 2024 09:54Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, madai ya Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO kwamba, Iran inaisadia kijeshi Russia katika vita vya Ukraine hayana msingi wowote.
-
Russia: Wamagharibi karibuni watamtosa Rais Zelensky wa Ukraine
Jun 20, 2024 22:45Idara ya Intelijensia ya Nje ya Russia (SVR) imefichua kuwa, Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine ni mwanasiasa tegemezi kwa Magharibi, na kwamba karibuni hivi, Marekani pamoja na waitifaki wake 'watamtoa kafara' kiongozi huyo pasi na kujali kitu chochote.
-
Russia: Ukraine katu haitajiunga na shirika la kijeshi la NATO
Jun 19, 2024 08:47Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema ni jambo lisiloyumkinika kwa Ukraine kuwa mwanachama wa shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO.
-
Mkuu wa NATO: Hatutatuma wanajeshi Ukraine
Jun 06, 2024 23:15Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO amesema muungano huo wa kijeshi wa Wamagharibi hauna mpango wa kutuma wanajeshi wake nchini Ukraine.
-
Mbunge wa Marekani: Biden ni punguani, hana akili timamu
Jun 01, 2024 04:33Wawakilishi wawili wa Marekani wamekosoa vikali uamuzi wa Joe Biden wa kuondoa vikwazo kwa Kiev vya kutumia silaha za Marekani kushambulia ardhi ya Russia.
-
Biden airuhusu Ukraine ishambulie maeneo ya Russia kwa silaha za Marekani, aikasirisha Moscow
May 31, 2024 06:28Rais Joe Biden wa Marekani amelegeza marufuku aliyokuwa ameiwekea Ukraine na kuiruhusu kutumia silaha za Washington kushambulia ndani ya ardhi ya Russia ili kuisaidia kulinda eneo lake la kaskazini mashariki la Kharkiv dhidi ya mashambulizi.
-
Askari 1,400 wa Ukraine wauawa Donetsk, Luhansk ndani ya saa 24
May 14, 2024 06:54Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza habari ya kuuawa wanajeshi 1,400 wa Ukraine katika muda wa saa 24 katika maeneo ya mashariki ya Luhansk na Donetsk, yaliyojitangazia uhuru mwaka 2014, baada ya kutokea mapinduzi nchini Ukraine.