-
Kiongozi Muadhamu: Kujenga umma; somo muhimu zaidi la Mtume (SAW)
Sep 21, 2024 12:42Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya nafasi ya watu maalumu katika uundaji wa Umma wa Kiislamu na umoja wa ulimwengu wa Kiislamu na kubainisha kwamba, kwa kuundwa Umma wa Kiislamu, Waislamu kwa nguvu zao za ndani wanaweza kuondoa donda la saratani na khabithi la utawala wa Kizayuni kutoka Palestina na kusambaratisha ushawishi na uingiliaji wa mabavu wa Marekani katika eneo.
-
Kashif Asrar: Umoja wa Kiislamu ni nembo ya mshikamano wa Waislamu
Sep 30, 2023 15:46Mwanazuoni wa madhehebu ya Suni nchini Ghana amesema kuwa, umoja wa Kiislamu chini ya uongozi wa Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, unastahiki sifa na ni nembo ya mshikamano wa Waislamu.
-
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya la Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu: Iran imejenga matumaini katika nyoyo za Waislamu
Sep 28, 2023 03:01Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema: Makubaliano ya kieneo na ya kimataifa yaliyoundwa duniani chini ya usimamizi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameibua matumaini katika nyoyo za Waislamu duniani.
-
Akhlaqi Katika Uislamu (18)
Nov 06, 2022 15:05Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yako mpendwa msikilizaji popote pale ulipo wakati huu. Nakukaribisha kusikiliza sehemu hii ya 18 ya kipindi cha Akhlaqi Katika Uislamu nikiwa na matumaini kuwa, mimi pamoja na wewe tutanufaika na yale tutakayoyasikia katika kipindi hiki. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume (saw)
Oct 10, 2022 07:44Siku hizi za mwezi wa Mfunguo Sita Rabiu Awwal ni fursa adhimu kwa Waislamu kote duniani kupitia tena Aya zinazohusiana na umoja na mshikamano wa Waislamu katika Qur'ani Tukufu na Hadithi za Mtume wetu Muhammad (saw) ambaye kwa mujibu wa riwaya na mapokezi mawili tofauti ya wanazuoni na wanahistoria, alizaliwa ama tarehe 12 au 17 ya mwezi huu.
-
Ayatullah Khatami: Maadui wanataka kudhoofisha umoja wa Waislamu
Jul 08, 2022 11:02Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa Tehran amesema maadui wanafanya juu chini kupunguza na kudhoofisha umoja wa umma wa Kiislamu kwa kutumia mbinu mbalimbali.
-
Wiki ya Umoja na vizingiti vinavyozuia kupatikana umoja wa nchi za Kiislamu
Oct 26, 2021 02:30Tarehe 12 hadi 17 Rabiul Awwal sawa na tarehe 19 hadi 24 Oktoba zimetengwa na kutangazwa rasmi kuwa Wiki ya Umoja wa Kiislamu na Jumapili ya juzi ndiyo iliyokuwa siku ya mwisho ya wiki hiyo muhimu katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
"Kuzikurubisha pamoja madhehebu za Kiislamu ni hatua ya kistratajia"
Oct 19, 2021 13:39Rais wa Iran amesema wazo la kuzikurubisha pamoja madhehebu za Kiislamu lililobuniwa na Imam Khomeini (MA), Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ni hatua ya kistratajia katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Mkutano wa 34 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu waanza mjini Tehran
Oct 29, 2020 12:10Mkutano wa 34 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza kufanyika mjini Tehran ukihudhuriwa na shakhsia 167 wa ulimwengu wa Kiislamu.
-
Mkutano wa 34 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu kufanyika Tehran
Oct 27, 2020 12:32Mkutano wa 34 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unatazamiwa kuanza Alhamisi katika mji mkuu wa Iran, Tehran ambapo mada kuu itakuwa 'Ushirikiano wa Kiislamu Wakati wa Maafa na Majanga'.