Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Wakati Umoja wa Mataifa unaposhindwa kuwa mkweli kuhusu mgogoro wa Syria

    Wakati Umoja wa Mataifa unaposhindwa kuwa mkweli kuhusu mgogoro wa Syria

    Oct 28, 2016 03:47

    Bashar al Jaafari, mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa na Vitaly Churkin, mwakilishi wa kudumu wa Russia katika umoja huo wamekosoa vikali hatua ya maafisa wa UN wanaotoa ripoti za upendeleo na za upande mmoja kuhusiana na mgogoro wa Syria. Ikumbukwe kuwa hivi sasa Russia ndiye mwenyekiti wa Baraza la Usalama la umoja wa Mataifa.

  • UN: Nigeria inakabiliwa na hali mbaya zaidi ya kibinadamu barani Afrika

    UN: Nigeria inakabiliwa na hali mbaya zaidi ya kibinadamu barani Afrika

    Oct 27, 2016 07:24

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na uratibu wa misaada ya kibinadamu ameonya kuwa Nigeria ni nchi inayokabiliwa na hali mbaya zaidi ya kibinadamu barani Afrika ambapo watoto wapatao 400,000 wanataabika kwa njaa huku raia wakiteseka kwa kupata kiwango kidogo au kukosa kabisa ulinzi, usalama, chakula au hata maji safi.

  • UN yatadharisha kuhusu uhaba wa chakula Yemen

    UN yatadharisha kuhusu uhaba wa chakula Yemen

    Oct 26, 2016 04:37

    Mpango wa Chakula Duniani (WFP) umetahadharisha kuhusu kushtadi tatizo la njaa na uhaba wa chakula huko Yemen.

  • Watu elfu tisa wamekuwa wakimbizi Mosul

    Watu elfu tisa wamekuwa wakimbizi Mosul

    Oct 26, 2016 03:31

    Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa watu karibu elfu tisa wamekuwa wakimbizi katika mji wa Mosul nchini Iraq.

  • Jumatano, 26 Oktoba, 2016

    Jumatano, 26 Oktoba, 2016

    Oct 26, 2016 02:37

    Leo Jumatano tarehe 24 Muharram 1438 Hijria sawa na Oktoba 26, 2016.

  • Umoja wa Mataifa walaani matamshi ya kibaguzi ya Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni

    Umoja wa Mataifa walaani matamshi ya kibaguzi ya Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni

    Oct 26, 2016 01:09

    Umoja wa Mataifa umelaani matamshi ya kibaguzi yaliyotolewa na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba anakusudia yeye mwenyewe binafsi kushiriki katika uchimbaji mashimo chini ya msikiti wa Al- Aqsa.

  • UN: DAESH wamewaua kinyama raia wengi wa mji wa Mosul

    UN: DAESH wamewaua kinyama raia wengi wa mji wa Mosul

    Oct 26, 2016 01:08

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa umepokea ripoti kadhaa zinazoonyesha kuwa, sambamba na vikosi vya jeshi la Iraq kukaribia mji wa Mosul kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limeua makumi ya watu wakiwemo maafisa 50 wa polisi ya Iraq ambao wameuliwa kinyama na magaidi wa kundi hilo.

  • Askari wa kusimamia amani wa Umoja wa Mataifa CAR walaumiwa kwa udhaifu

    Askari wa kusimamia amani wa Umoja wa Mataifa CAR walaumiwa kwa udhaifu

    Oct 25, 2016 02:29

    Raia wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wamekosoa vikali udhaifu wa askari wa kusimamia amani wa Umoja wa Mataifa ndani ya nchi hiyo.

  • UN: Mabinti elfu 47 katika hatari ya kulazimishwa ndoa za mapema kila siku

    UN: Mabinti elfu 47 katika hatari ya kulazimishwa ndoa za mapema kila siku

    Oct 22, 2016 00:56

    Umoja wa Mataifa umeonya kuwa, watoto wadogo wa kike zaidi ya elfu 47 wapo katika hatari ya kulazimishwa kushiriki ndoa za mapema kila siku duniani.

  • Syria: Magaidi wanazuia raia kutoka mji wa Aleppo

    Syria: Magaidi wanazuia raia kutoka mji wa Aleppo

    Oct 21, 2016 10:23

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wanawazuia raia kuugura mji wa Aleppo, ambao kwa sasa unashuhudia makabiliano makali kati ya vikosi vya serikali na magenge ya kigaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS