-
UN yaeleza matumaini yake kuhusu makubaliano ya kisiasa DRC
Oct 20, 2016 10:18Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amesema ana wingi wa matumaini kuwa makubaliano ya kisiasa yaliyofikiwa Jumanne iliyopita katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yatasaidia kuheshimiwa haki za binadamu sambamba na kufanyika uchaguzi wenye itibari katika nchi hiyo ya Kiafrika.
-
UN: Hali ya hatari Ethiopia inalenga wanadiplomasia na wanahabari
Oct 18, 2016 03:34Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amesema anafuatilia kwa karibu matukio ya hivi sasa nchini Ethiopia na kueleza wasi wasi wake kuwa hali ya hatari iliyotangazwa hivi karibuni na serikali ya Addis Ababa, inawaathiri zaidi wanadiplomasia na waandishi wa habari.
-
Ansarullah: Umoja wa Mataifa uchunguze ukatili wa Saudia Yemen
Oct 17, 2016 00:58Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa juu ya mauaji ya kinyama yaliyofanywa na ndege za kivita za Saudi Arabia nchini Yemen hivi karibuni.
-
UN yalaani upanuzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Oct 15, 2016 04:40Kikao maalumu cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kimekosoa vikali kuendelezwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni na utawala ghasibu wa Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
UN yalaani kutumiwa mabavu dhidi ya raia Jamhuri ya Afrika ya Kati
Oct 14, 2016 11:37Umoja wa Mataifa umelaani kuuliwa raia katika machafuko mapya ya makundi yenye silaha huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
UN: Mustakabali wa kisiasa DRC umegubikwa na kiza
Oct 12, 2016 04:26Mjumbe wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa hali ya kisiasa na kiusalama katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ipo katika hali nyeti hivi sasa na kwamba huenda machafuko yakashtadi.
-
UN yaitaka Sudan Kusini ikubali kutumwa askari 4000 wa kieneo
Oct 12, 2016 04:10Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitaka Sudan Kusini itekeleze ahadi iliyotoa, ya kukubali makubaliano ya kimataifa ya kutumwa askari 4,000 wa kieneo nchini humo.
-
Palestina yaushtaki utawala wa Kizayuni kwa Umoja wa Mataifa
Oct 09, 2016 23:14Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetuma ripoti kwa Umoja wa Mataifa ikiushitaki utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kukanyaga sheria zote za kimataifa.
-
UN: Sudan izungumzie 'kutumiwa silaha za kemikali Darfur'
Oct 05, 2016 11:31Umoja wa Mataifa umeitaka Sudan ieleze msimamo wake kuhusu madai ya kutumiwa silaha za kemikali dhidi ya raia katika jimbo la Darfur.
-
Iran: Ugaidi umezuia kufikiwa Malengo ya Maendeleo Endelevu
Oct 04, 2016 04:43Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema ugaidi na misimamo mikali ya kufurutu ada vimekuwa kizingiti kikuu katika kufikiwa Malengo ya Maendeleo Endelevu SDGs.