Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa laazimia kuangamiza Ukimwi Duniani

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa laazimia kuangamiza Ukimwi Duniani

    Jun 11, 2016 10:59

    Mkutano wa ngazi ya juu wa siku tatu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu namna ya kukomesha maambukizi ya Ukimwi umefungwa mjini New York.

  • UN yalaani matamshi ya chuki za kikabila ya Rais wa Gambia

    UN yalaani matamshi ya chuki za kikabila ya Rais wa Gambia

    Jun 11, 2016 10:59

    Mshauri Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na Uzuiaji Mauaji ya Kimbari amelaani hotuba ya kichochezi ya Rais Yahya Jammeh wa Gambia ya kutishia kuliangamiza kabila la Mandinka nchini humo.

  • Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aikosoa Saudia

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aikosoa Saudia

    Jun 09, 2016 23:16

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa mashinikizo yanayotolewa na Saudia kuhusu hatua yake ya kukiuka haki za watoto huko Yemen ni jambo lisiloweza kuhalalishwa.

  • Kuteuliwa utawala wa Kizayuni kuongoza kamati ya sheria ya Umoja wa Mataifa

    Kuteuliwa utawala wa Kizayuni kuongoza kamati ya sheria ya Umoja wa Mataifa

    Jun 09, 2016 02:30

    Harakati kubwa zilizofanywa kuupatia utawala wa Kizayuni wa Israel uwanachama kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa na kuupatia uongozi utawala huo kwenye baraza hilo ambako kumeonyesha ufanyaji mkubwa wa mambo kisiasa na upotoshaji malengo na vigezo vya kisheria katika chombo hicho cha kisheria cha UN, vimezidi kudhihirisha jinsi suala la haki za binadamu linavyoendelea kutumiwa kisiasa.

  • Palestina: Ni kinaya kuteuliwa Israel kuongoza kamati ya UN

    Palestina: Ni kinaya kuteuliwa Israel kuongoza kamati ya UN

    Jun 08, 2016 23:12

    Afisa wa ngazi za juu wa Palestina ameitaja kama kichekesho na kinaya, hatua ya kuteuliwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa mwenyekiti wa kamati ya Umoja wa Mataifa.

  • Umoja wa Mataifa wataka viongozi wa Eritrea wapelekwe ICC

    Umoja wa Mataifa wataka viongozi wa Eritrea wapelekwe ICC

    Jun 08, 2016 09:44

    Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kuwekewa vikwazo na kufikishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC viongozi na wanasiasa wa Eritrea, kwa tuhuma za kufanya jinai dhidi ya binadamu.

  • Saudia yatishia kuikatia UN ufadhili kwa kuiweka kwenye orodha nyeusi

    Saudia yatishia kuikatia UN ufadhili kwa kuiweka kwenye orodha nyeusi

    Jun 08, 2016 08:46

    Saudi Arabia imetishia kukata misaada na ufadhili wake kwa Umoja wa Mataifa, siku chache baada ya Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa umoja huo kuuweka muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na nchi hiyo dhidi ya Yemen kwenye orodha yake nyeusi.

  • Wananchi wa Yemen wafanywa wahanga wa mchezo wa UN katika uwanja wa  Saudi Arabia

    Wananchi wa Yemen wafanywa wahanga wa mchezo wa UN katika uwanja wa Saudi Arabia

    Jun 07, 2016 23:11

    Umoja wa Mataifa umetupilia mbali msimamo wake wa awali na kulifuta jina la Muungano vamizi unaoongozwa na Saudia huko Yemen katika orodha yake nyeusi kutokana na kukiuka haki za watoto wa Yemen.

  • UN yatahadharisha kuhusu kuwa wakimbizi watu zaidi ya laki mbili huko Syria

    UN yatahadharisha kuhusu kuwa wakimbizi watu zaidi ya laki mbili huko Syria

    Jun 06, 2016 09:24

    Ofisi ya Uratibu wa Misaada ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imetahadharisha kuwa mapigano kati ya Wakurdi wa Syria na kundi la Kigaidi la Daesh karibu na mji wa Manbij huenda yakasababisha watu zaidi ya laki mbili na elfu kumi na sita kuwa wakimbizi.

  • Ban Ki moon aomboleza kifo cha Muhammad Ali

    Ban Ki moon aomboleza kifo cha Muhammad Ali

    Jun 05, 2016 09:56

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mkono wa pole kufuatia kifo cha bingwa na nguli wa ndondi duniani, Muhammad Ali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS