-
UN: Kuongezewa adhabu ya kifungo Sheikh Salman ni ukandamizaji wa kisiasa
Jun 02, 2016 03:18Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya uhuru wa maoni na uhuru wa kujieleza amelaani vikali uamuzi wa mahakama ya rufaa ya Bahrain wa kuidhinisha hukumu iliyotolewa dhidi ya Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa Harakati ya Al-Wifaq na kuongeza adhabu hiyo ya kifungo hadi miaka tisa.
-
Umoja wa Mataifa wataka juhudi zaidi kukabiliana na udhalilishaji wa kijinsia Kodivaa
Jun 01, 2016 23:37Mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameishukuru serikali ya Ivory Coast kwa juhudi zake za kukabiliana na udhalilishaji wa kijinsia na kutaka juhudi zaidi ziongezwe katika uwanja huo.
-
Kumalizika maambukizo ya Ebola nchini Guinea Conakry
Jun 01, 2016 10:58Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza habari ya kumalizika maambukizo ya homa hatari ya Ebola huko Guinea Conakry.
-
Maandamano ya wanaopigania kujitenga eneo la kusini mwa Nigeria
Jun 01, 2016 02:29Polisi katika jimbo la Niger Delta kusini mwa Nigeria wameeleza wasiwasi wao kuhusu kuongezeka maandamano ya wanaopigania kujitenga eneo hilo.
-
Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa kuhus jinai za Daesh huko Falluja, Iraq
May 30, 2016 23:48Msemaji wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa amesema jinai zinazotekelezwa na magaidi wa kundi la Daesh katika mji wa Falluja huko Iraq zinatia wasiwasi.
-
Wanajeshi wa Mauritania waanza kulinda amani CAR katika kikosi cha UN
May 29, 2016 02:22Wanajeshi wa Mauritania wameanza kuhudumu katika kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
UNEA yaidhinisha maazimio 25 ya kuimarisha maendeleo endelevu
May 28, 2016 11:31Mkutano wa pili wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira UNEA2 umepasisha maazimio 25 yanayolenga kuchochea zaidi maendeleo endelevu yasiyochafua mazingira.
-
UN: Kutunza Mazingira ni msingi wa amani, maendeleo
May 26, 2016 23:01Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jan Eliasson , amesema kutunza mazingira ni msingi wa amani, maendeleo na ubinadamu kwa wote.
-
Sudan yamtimua ofisa wa UN kwa kuandaa ripoti 'bandia' juu ya Darfur
May 26, 2016 03:11Sudan imemtimua ofisa mwandamizi wa Umoja wa Mataifa nchini humo kwa tuhuma za kuandaa kile kilichotajwa na serikali ya Khartoum kuwa ripoti bandia kuhusu hali ya kiusalama katika eneo la Darfur.
-
UN: Iran ni muhimu katika mchakato wa amani Syria
May 26, 2016 03:02Umoja wa Mataifa umesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni nchi yenye umuhimu mkubwa katika mchakato wa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa nchini Syria, sambamba na kupatika amani ya kudumu katika nchi hiyo ya Kiarabu.