Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Umoja wa Mataifa: Waislamu 15,000 Warohingya wamekimbia Myanmar hivi karibuni

    Umoja wa Mataifa: Waislamu 15,000 Warohingya wamekimbia Myanmar hivi karibuni

    Dec 19, 2018 11:43

    Nyaraka zilizotolewa na Umoja wa Mataifa zinaonyesha kuwa, Waislamu 15,000 wa jamii ya Rohingya wamekimbia kutoka Myanmar katika siku za hivi karibuni.

  • UN yalaani kukandamizwa wapinzani Kongo DR kuelekea uchaguzi mkuu

    UN yalaani kukandamizwa wapinzani Kongo DR kuelekea uchaguzi mkuu

    Dec 14, 2018 12:34

    Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali ukandamizaji, mbinyo na unyanyasaji unaofanywa na maafisa usalama katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo dhidi ya wapinzani, siku chache kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu.

  • Umoja wa Mataifa: Jamii ya kimataifa ina wajibu wa kulinda JCPOA

    Umoja wa Mataifa: Jamii ya kimataifa ina wajibu wa kulinda JCPOA

    Dec 12, 2018 03:00

    Kwa mara nyingine tena Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA) yanapaswa kulindwa na wadau wote katika eneo na jamii ya kimataifa.

  • Burundi yaiagiza UN ifunge ofisi yake ya haki za binadamu Bujumbura

    Burundi yaiagiza UN ifunge ofisi yake ya haki za binadamu Bujumbura

    Dec 06, 2018 11:24

    Serikali ya Burundi imeliagiza Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lifunge ofisi yake iliyoko katika mji mkuu wa nchi hiyo, Bujumbura katika kipindi cha miezi miwili ijayo.

  • UN: Magaidi wa Daesh wanawachinja raia wa Syria, Deir ez-Zor

    UN: Magaidi wa Daesh wanawachinja raia wa Syria, Deir ez-Zor

    Dec 05, 2018 23:15

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa indhari juu ya kuendelea kuwa mbaya hali ya kibinadamu nchini Syria, na kushtadi mauaji ya raia yanayofanywa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) mashariki mwa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Mwenyekiti wa Baraza Kuu la UN: Wapalestina wanaendelea kuuawa, kuteseka

    Mwenyekiti wa Baraza Kuu la UN: Wapalestina wanaendelea kuuawa, kuteseka

    Nov 29, 2018 08:44

    Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mauaji na mateso ya Wapalestina sasa vimekuwa jambo la kawaida la kila siku lakini inasikitisha kuona kuwa, baadhi ya vyombo vya habari vimepuuza suala hilo.

  • UN yaipongeza Uganda na Chad kwa kuwasomesha watoto wakimbizi

    UN yaipongeza Uganda na Chad kwa kuwasomesha watoto wakimbizi

    Nov 21, 2018 04:20

    Umoja wa Mataifa umezipongeza serikali za Uganda na Chad kwa kuwasomesha watoto wakimbizi katika shule za taifa na kuwafanya wawe na utangamano.

  • UNICEF: Mtoto mmoja wa Yemen hufariki dunia kila baada ya dakika 10

    UNICEF: Mtoto mmoja wa Yemen hufariki dunia kila baada ya dakika 10

    Nov 17, 2018 03:06

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, watoto sita wa Yemen hufariki dunia kila baada ya saa moja nchini Yemen.

  • Jumamosi, 17 Novemba, 2018

    Jumamosi, 17 Novemba, 2018

    Nov 16, 2018 21:40

    Leo ni Jumamosi tarehe 9 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1440 Hijria, mwafaka na tarehe 17 Novemba 2018 Miladia.

  • UN yalaani mauaji ya askari wake 8 wa kulinda amani Kongo DR

    UN yalaani mauaji ya askari wake 8 wa kulinda amani Kongo DR

    Nov 16, 2018 11:19

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amelaani mauaji ya askari 8 wa kikosi cha kulinda amani cha umoja huo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS