Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Upinzani nchini Madagascar wakataa upatanishi wa UN

    Upinzani nchini Madagascar wakataa upatanishi wa UN

    May 08, 2018 12:25

    Upinzani nchini Madagascar umepinga upatanishi wa Umoja wa Mataifa katika mgogoro unaoendelea kutokota katika kisiwa hicho cha kusini mashariki mwa Afrika.

  • Katibu Mkuu wa UN: JCPOA ni ushindi muhimu wa kidiplomasia

    Katibu Mkuu wa UN: JCPOA ni ushindi muhimu wa kidiplomasia

    May 04, 2018 02:55

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya dhidi ya kuvunjwa makubaliano ya nyuklia ya Iran huku akisisitiza kuwa mapatano hayo ni ushindi muhimu wa kidiplomasia ambayo yanapaswa kulindwa.

  • Ujumbe wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Yemen kwa UN kuhusu kuuawa Saleh al Sammad

    Ujumbe wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Yemen kwa UN kuhusu kuuawa Saleh al Sammad

    Apr 29, 2018 03:25

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Yemen imetuma ujumbe kwa Umoja wa Mataifa na kuitaja hatua ya Saudi Arabia ya kumuuwa Saleh al Sammad aliyekuwa Mkuu wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Ansarullah ya Yemen kuwa ni jinai ya kivita.

  • UN: Watu 4,000 wamekimbia mapigano mapya Myanmar

    UN: Watu 4,000 wamekimbia mapigano mapya Myanmar

    Apr 28, 2018 03:13

    Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya elfu nne wamekimbia mapigano mapya kati ya wanajeshi wa Myanmar na genge moja la kikabila katika muda wa wiki chache zilizopita, kaskazini mwa nchi.

  • Wafanyakazi 10 wa UN watoweka Sudan Kusini

    Wafanyakazi 10 wa UN watoweka Sudan Kusini

    Apr 26, 2018 23:30

    Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa wafanyakazi wasiopungua 10 wa umoja huo nchini Sudan Kusini wametoweka na hawajulikani waliko.

  • Sisitizo la Katibu Mkuu wa UN la kuwepo umoja huko Syria

    Sisitizo la Katibu Mkuu wa UN la kuwepo umoja huko Syria

    Apr 25, 2018 23:20

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa kuwepo umoja na uthabiti nchini Syria ni jambo lenye udharura.

  • Askari wa UN watuhumiwa kuwabaka watoto Sudan Kusini

    Askari wa UN watuhumiwa kuwabaka watoto Sudan Kusini

    Apr 24, 2018 12:15

    Wanajeshi wa Umoja wa Mataifa kutoka Nepal wanatuhumiwa kuwabaka watoto wadogo nchini Sudan Kusini.

  • Kukiri Umoja wa Mataifa kuwa vitendo vya Israel ni vya aibu na kufedhehesha

    Kukiri Umoja wa Mataifa kuwa vitendo vya Israel ni vya aibu na kufedhehesha

    Apr 21, 2018 07:21

    Akitoa radiamali yake kufuatia kuuliwa shahidi kijana wa Kipalestina aliyekuwa na umri wa miaka 15 katika maandamano ya siku ya Ijumaa huko Ghaza, Nikolay Mladenov Mratibu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Mashariki ya Kati amesema kuwa, kulengwa kwa riasasi vijana wa Kipalestina na wadunguaji wa Israel ni jambo la aibu na la kufedhehesha.

  • UN: Kitendo cha Israel cha kuwapiga risasi watoto wa Kipalestina ni aibu

    UN: Kitendo cha Israel cha kuwapiga risasi watoto wa Kipalestina ni aibu

    Apr 21, 2018 02:49

    Mratibu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Mashariki ya Kati ameshindwa kunyamazia kimya jinai ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kumpiga risasi na kumuua shahidi kijana wa miaka 15 wa Kipalestina katika maandamano ya jana Ijumaa.

  • Balozi wa Palestina UN ataka kuchunguzwa jinai za Israel huko Gaza

    Balozi wa Palestina UN ataka kuchunguzwa jinai za Israel huko Gaza

    Apr 20, 2018 23:40

    Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa umoja huo kuunda kamisheni huru ya kuchunguza jinai za kutisha zinazofanywa na wanajeshi katili wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS