-
Jeshi la Myanmar lawekwa katika orodha nyeusi ya UN
Apr 14, 2018 02:36Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imeliweka jeshi la Myanmar katika orodha nyeusi ya umoja huo, kutokana na jinai za ubakaji zilizofanywa na askari wa nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa Rohingya.
-
Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na muamala mbaya dhidi ya wafungwa nchini Libya
Apr 11, 2018 08:16Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, makundi yanayobeba silaha nchini Libya yanawatesa na kuwaua wafungwa wanaoshikiliwa kwenye jela ambazo kidhahiri ziko chini ya udhibiti wa serikali ya nchi hiyo.
-
Syria: Sheria za kimataifa hazina thamani yoyote kwa Marekani
Apr 11, 2018 00:06Balozi na mwakilishi wa Syria katika Umoja wa Mataifa amekosoa matamshi ya vitisho yaliyotolewa na Marekani katika Baraza la Usalama la umoja huo na kueleza kuwa baraza hilo na misingi ya sheria za kimataifa havina thamani yoyote ile kwa nchi hiyo.
-
Jumamosi, 7 Aprili, 2018
Apr 08, 2018 05:13Leo ni Jumamosi tarehe 20 ya mwezi wa Rajab 1439 Hijria mwafaka na tarehe 7 Aprili 2018 Miladia.
-
Katibu Mkuu wa UN atahadahrisha kuhusu hali mbaya nchini Yemen
Apr 03, 2018 09:25Huku Saudia Arabia ikiendeleza hujuma zake za kinyama dhidi ya Yemen, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Askari wa Kulinda Amani wa UN waondoka Liberia baada ya miaka 15
Mar 31, 2018 10:34Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Liberia UNMIL kimefunga rasmi mlango uliofunguliwa miaka 15 iliyopita.
-
Answarullah: Wasaudia na Marekani watazame upya mahesabu yao kuhusu Yemen
Mar 30, 2018 23:54Mkuu wa Baraza Kuu la Mapinduzi nchini Yemen, Mohammed Ali al-Houthi amegusia nguvu za muqawama wa wananchi wa Yemen dhidi ya jinai za wavamizi na kumtaka Mohammad Bin Salman na nchi washiriki katika muungano vamizi pamoja na Marekani, kuangalia upya mahesabu yao kuhusu nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Kikosi cha MONUSCO chaongezewa muda wa kuhudumu DRC
Mar 28, 2018 02:47Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekiongezea muda wa kuhudumu kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo MONUSCO.
-
UN yaitahadharisha EU kuhusu mgogoro mpya wa wakimbizi kutoka Afrika
Mar 26, 2018 10:49Umoja wa Mataifa umezitahadharisha nchi za Umoja wa Ulaya kuhusu mgogoro mpya wa wakimbizi kutoka Afrika.
-
Syria yataka askari vamizi wa Uturuki kuondoka mara moja eneo la Afrin
Mar 20, 2018 00:43Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa hivi sasa wa Baraza la Usalama la umoja huo, ikilalamikia uvamizi na jinai za jeshi la Uturuki dhidi ya mji wake wa Afrin na wakazi wake.