• Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu (27)

    Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu (27)

    Mar 18, 2018 07:00

    Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yenu wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi hiki kinachozungumzia suala muhimu na la msingi la Umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu. Suala ambalo kutokana na kipindi ambacho Ulimwengu wa Kiislamu unakipitia hivi sasa umuhimu wake unahisika zaidi wakati huu pengine kuliko wakati mwengine wowote ule. Endeleeni basi kuwa pamoja nami kuanzia awali hadi tamati ya mfululizo huu, hii ikiwa ni sehemu yake ya 27.

  • Umoja wa Mataifa watoa wito wa kusaidiwa wakimbizi Waislamu Warohingya

    Umoja wa Mataifa watoa wito wa kusaidiwa wakimbizi Waislamu Warohingya

    Mar 17, 2018 04:29

    Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kukusanywa misaada kwa ajili ya kuwasaidia wakimbizi takribani milioni moja wa jamii ya Rohingya wa Myanmar ambao wako katika kambi za wakimbizi nchini Bangladesh sambamba na kuandaliwa mazingira ya Waislamu hao kurejea nchini kwao.

  • Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu uwezekano wa kukaririwa maangamizi ya kizazi Myanmar

    Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu uwezekano wa kukaririwa maangamizi ya kizazi Myanmar

    Mar 14, 2018 10:51

    Mshauri Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika kuzuia maangamizi ya kizazi ametahadharisha kuwa serikali ya Myanmar inataka kutekeleza mauaji mengine ya kizazi dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya katika mkoa wa Rakhine magharibi mwa nchi hiyo.

  • UN: Haki za binadamu zinakanyagwa katika nchi nyingi duniani

    UN: Haki za binadamu zinakanyagwa katika nchi nyingi duniani

    Mar 08, 2018 04:47

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, haki za binadamu zinatishiwa au kukanyagwa katika zaidi ya nchi 50 kote duniani.

  • UN: Tuna wasi wasi mauaji ya kimbari yamefanyika Myanmar

    UN: Tuna wasi wasi mauaji ya kimbari yamefanyika Myanmar

    Mar 07, 2018 22:11

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameeleza juu ya wasi wasi mkubwa alionao kwamba yumkini mauaji ya kimbari yamefanywa dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar tangu Agosti mwaka jana 2017.

  • UN yakosoa ukandamizaji Misri kuelekea uchaguzi wa rais

    UN yakosoa ukandamizaji Misri kuelekea uchaguzi wa rais

    Mar 07, 2018 22:10

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amekosoa mazingira ya vitisho, ukandamizaji na kuwekewa mbinyo wanasiasa wa upinzani nchini Misri kuelekea uchaguzi wa rais unaotazamiwa kufanyika baadaye mwezi huu.

  • Hadithi ya Uongofu (109)

    Hadithi ya Uongofu (109)

    Mar 06, 2018 08:19

    Ni wasaa na wakati mwingine mnapojiunga nami Salum Bendera katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Sehemu iliyopita ya mfululizo huu ilizungumzia suala la ushindani. Tulisema kuwa, ushindani umegawanyika katika sehemu mbili za ushindani mzuri na mbaya.

  • UN yasema mauaji dhidi ya Waislamu wa Rohingya yanaendelea Myanmar

    UN yasema mauaji dhidi ya Waislamu wa Rohingya yanaendelea Myanmar

    Mar 06, 2018 04:28

    Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imetahadharisha kuhusiana na kuendelea mauaji ya kizazi yanayofanywa na serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya magharibi mwa nchi hiyo.

  • UN yasimamisha shughuli zake Nigeria baada ya wahudumu wake kuuawa

    UN yasimamisha shughuli zake Nigeria baada ya wahudumu wake kuuawa

    Mar 04, 2018 04:36

    Umoja wa Mataifa umetangaza habari ya kusitisha shughuli zake za utoaji huduma na misaada ya kibinadamu kaskazini mashariki mwa Nigeria kutokana na kuuawa wafanyakazi wake katika mashambulizi ya hivi karibuni ya magaidi wa Boko Haram.

  • Kukosolewa Umoja wa Mataifa kwa kuibariki Saudi Arabia kuendeleza jinai zake huko Yemen

    Kukosolewa Umoja wa Mataifa kwa kuibariki Saudi Arabia kuendeleza jinai zake huko Yemen

    Mar 03, 2018 23:06

    Hizam al Assad mwakilishi wa ngazi ya juu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ni sababu ya kuendelea mashambulizi ya kinyama ya Saudi Arabia huko Yemen.