-
Amnesty yasema EU inashiriki katika kuteswa wahajiri Libya
Dec 12, 2017 04:45Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limezituhumu nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya kuwa zinashiriki katika kuteswa, kukandamizwa na kudhalilishwa wahajiri wanaozuiliwa nchini Libya.
-
Radiamali ya Umoja wa Ulaya kuhusu hatua ya Trump dhidi ya Quds Tukufu
Dec 08, 2017 01:18Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amelaani hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kutambua rasmi mji wa Beitul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel na kuongeza kuwa hatua hiyo ya upande mmoja bila shaka itavuruga utulivu wa ulimwengu na juhudi zote zilizofanywa kwa ajili ya kutatua mzozo wa Palestina.
-
Azma ya Ulaya na Afrika ya kukabiliana na mgogoro wa wahajiri
Dec 02, 2017 08:59Viongozi wa Ulaya na Afrika wametoa taarifa ya pamoja katika Mkutano wa Tano wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya huko Ivory Coast kuhusu mgogoro wa wahajiri barani Afrika na kusistiza udharura wa kupatiwa suluhisho la msingi suala hilo ikiwa ni pamoja na kupatikana ufumbuzi wa kisiasa wa mgogoro uliopo hivi sasa huko Libya.
-
AU na EU zataka kutatuliwa mgogoro wa wahajiri wa Kiafrika
Dec 02, 2017 05:00Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya zimetilia mkazo udharura wa kutafutwa ufumbuzi wa kimsingi wa hali mbaya ya wakimbizi na wahajiri wa Kiafrika.
-
EU: Hali ya Sheikh Issa Qassim wa Bahrain inatutia wasiwasi
Dec 02, 2017 00:42Umoja wa Ulaya umeelezea wasiwasi wake kutokana na hali mbaya ya kiafya Ayatullah Sheikh Issa Qassim, mwanachuoni mkubwa wa Bahrain aliyezingirwa kila upande na askari wa utawala wa Aal Khalifa.
-
Bunge la EU lataka Saudia iwekewe vikwazo vya silaha
Dec 01, 2017 04:21Wabunge wa Umoja wa Ulaya wamepiga kura kwa kishindo kuunga mkono azimio linalotaka EU iiwekee vikwazo vya silaha Saudi Arabia, inayoongoza katika mauaji na hujuma za kijeshi dhidi ya Yemen.
-
Kikao cha tano cha Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya nchini Ivory Coast
Nov 30, 2017 08:10Kikao cha tano cha Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Ulaya (EU) kilianza hapo jana na kuendelea hadi leo katika mji mkuu wa Ivory Coast, Abidjan.
-
Kikao cha tano cha pamoja cha AU na EU chafanyika nchini Ivory Coast
Nov 30, 2017 04:38Kikao cha tano cha pamoja cha Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya kilianza rasmi hapo jana katika mji mkuu wa Ivory Coast, Abidjan.
-
Umoja wa Ulaya walalamikia jinai za Israel
Nov 27, 2017 12:03Umoja wa Ulaya umeutaka utawala ghasibu wa Kizayuni ukomeshe kuvunja nyumba za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
EU yaipa Uingereza siku 10 kuamua kuhusu kujitoa katika umoja huo
Nov 25, 2017 00:51Donald Tusk, mkuu wa Baraza la Umoja wa Ulaya ameipa Uingereza muda wa siku 10 kuhakikisha kunapatikana maendeleo ya kuridhisha katika mjadala wa kujitoa nchi hiyo kwenye Umoja wa Ulaya.