-
Kuongezeka mivutano kati ya Umoja wa Ulaya na Burundi
Jan 28, 2017 09:04Hali ya mvutano kati ya Burundi na Umoja wa Ulaya ingali inaendelea na sasa serikali ya Bujumbura imeutuhumu umoja huo kuwa unakiuka mamlaka ya kitaifa ya nchi hiyo.
-
Sisitizo la Mogherini kuhusu msimamo wa Umoja wa Ulaya juu ya kadhia ya Libya
Jan 26, 2017 09:25Federica Mogherini, Mkuu wa Siasa za Nje za Umoja wa Ulaya amesema kuwa, umoja huo hauna nia ya kuipa Libya pendekezo lile lile uliloipa Uturuki kuhusiana na wakimbizi.
-
EU yataka kuachiliwa huru mara moja Sheikh Zakzaky nchini Nigeria
Jan 25, 2017 01:12Umoja wa Ulaya umewataka viongozi wa Nigeria kuheshimu amri ya mahakama ya kumwachilia huru mara moja kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.
-
EU yasisitiza tena kutekelezwa kikamilifu JCPOA
Jan 16, 2017 11:07Umoja wa Ulaya umetilia mkazo kutekelezwa kikamilifu Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na kufungamana na makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya kundi la 5+1 na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kujitoa Uingereza ndani ya EU ni tishio kwa duru za kibiashara za Ulaya
Jan 03, 2017 03:51Taasisi moja ya uchunguzi wa maoni ya Ulaya imetangaza kuwa hatua ya Uingereza ya kujitoa katika Umoja wa Ulaya inatishia pakubwa duru za kibiashara za bara hilo.
-
Burundi yatishia kuondoa wanajeshi wake Somalia
Dec 31, 2016 23:25Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi ametishia kuwa atawaondoa wanajeshi wa nchi yake walioko Somalia iwapo askari hao wanaohudumu katika kikosi cha Umoja wa Afrika UNISOM hawatalipwa mshahara wao.
-
Palestina; elekeo la macho ya jamii ya kimataifa
Dec 22, 2016 04:19Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League), Ahmad Abul Ghaith na Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya wamesisitiza kuwa kadhia ya Palestina inaendelea kuwa suala la msingi la kushughulikiwa kimataifa.
-
EU, Arab League zalaani ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Dec 21, 2016 10:54Umoja wa Ulaya EU na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu zimelaani hatua ya utawala ghasibu wa Israel kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
-
Umoja wa Ulaya warefusha vikwazo dhidi ya Russia
Dec 19, 2016 23:35Umoja wa Ulaya umeongeza muda wa vikwazo dhidi ya Russia.
-
Umoja wa Ulaya kuipatia Niger mamilioni ya dola endapo itazuia wahajiri kuelekea Ulaya
Dec 17, 2016 13:33Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa, utaipatia mamilioni ya dola nchi ya Niger endapo itafanya juhudi za kuwazuia wahajiri wanaolekea Ulaya ambao wanapitia katika nchi hiyo.