Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Kukiri duru za Kizayuni juu ya kuwa mbaya hali ya Gaza

    Kukiri duru za Kizayuni juu ya kuwa mbaya hali ya Gaza

    Dec 30, 2016 04:25

    Kituo kimoja cha haki za binadamu cha Israel kimekiri kwamba, utawala wa Kizayuni wa Israel umekuwa ukiifanya kuwa mbaya siku baada ya siku hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.

  • Dk. Hanna Issa: Mashimo mengine kadhaa yamechimbwa chini ya msikiti wa Al-Aqsa

    Dk. Hanna Issa: Mashimo mengine kadhaa yamechimbwa chini ya msikiti wa Al-Aqsa

    Dec 30, 2016 03:44

    Kamati ya Kiislamu na Kikristo ya kuuhami mji mtukufu wa Baitul Muqaddas na matukufu yake imeripoti kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umechimba mashimo mengine kadhaa chini ya msikiti mtukufu wa Al-Aqsa.

  • Maneva ya kijeshi; wenzo wa Israel wa kuwafukuza Wapalestina kutoka katika ardhi zao

    Maneva ya kijeshi; wenzo wa Israel wa kuwafukuza Wapalestina kutoka katika ardhi zao

    Dec 21, 2016 00:22

    Maneva ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel yalianza Jumatatu ya juzi katika eneo la al-Aghwar kwa lengo la kuwafukuza Wapalestina zaidi kutoka katika eneo hilo lililoko kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Harakati ya Ansarullah ya Yemen: Marekani na Israel ndio maadui wa Umma wa Kiislamu

    Harakati ya Ansarullah ya Yemen: Marekani na Israel ndio maadui wa Umma wa Kiislamu

    Dec 17, 2016 13:12

    Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen imesisitiza juu ya udharura wa kutumiwa mafundisho ya Bwana Mtume (saw) kwa ajili ya kukabiliana na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel tawala mbazo ni maadui wa Umma wa Kiislamu.

  • Jumamosi, 17 Desemba 2016

    Jumamosi, 17 Desemba 2016

    Dec 17, 2016 00:55

    Leo ni Jumamosi tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1438 Hijria sawa na tarehe 17 Desemba 2016 Miladia.

  • Kuzidi kuwa mkubwa mgogoro wa kiuchumi wa Israel

    Kuzidi kuwa mkubwa mgogoro wa kiuchumi wa Israel

    Dec 14, 2016 04:00

    Taasisi ya utawala wa Kizayuni ya Latite imefichua kuwa, karibu watu milioni 2.5 wakazi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wanaishi chini ya mstari wa umaskini.

  • Jumatano, Disemba 14, 2016

    Jumatano, Disemba 14, 2016

    Dec 14, 2016 00:53

    Leo ni Jumatano tarehe 14 Mfunguo Sita Rabiul Awwali 1438 Hijria sawa na Disemba 14, 2016.

  • Bunge la Israel lautupa muswada wa kupiga marufuku Adhana

    Bunge la Israel lautupa muswada wa kupiga marufuku Adhana

    Dec 07, 2016 12:15

    Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel Knesset leo Jumatano limeutupilia mbali muswada wa kupiga marufuku adhana katika mji mtakatifu wa Quds na maeneo mengine ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.

  • Walowezi wa Kiyahudi wauvunjia heshima tena msikiti wa al-Aqswa

    Walowezi wa Kiyahudi wauvunjia heshima tena msikiti wa al-Aqswa

    Dec 05, 2016 00:40

    Makumi ya walowezi wa Kiyahudi jana Jumapili waliuvamia Msikiti Mtukufu wa al Aqsa katika mji wa Baitul Muqaddas na kulivunjia heshima eneo hilo tukufu.

  • Israel yalazimika kurudi nyuma, yaakhirisha tena kujadili marufuku ya adhana

    Israel yalazimika kurudi nyuma, yaakhirisha tena kujadili marufuku ya adhana

    Dec 01, 2016 00:40

    Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel (Knesset) limelazimika kulegeza kamba na kuakhirisha kujadili muswada wa kupiga marufuku adhana katika misikiti ya mji mtakatifu wa Quds, ukiwemo Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS