Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Uturuki yateua balozi wake wa utawala haramu wa Israel

    Uturuki yateua balozi wake wa utawala haramu wa Israel

    Nov 17, 2016 00:54

    Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametangaza kuwa Ankara imemteua balozi atakayeiwakilisha nchi hiyo katika utawala haramu wa Israel, miezi michache baada ya pande mbili hizo kutangaza kuhuisha uhusiano wao wa kidiplomasia.

  • Erdogan: EU inafanya njama ya kutoijumuisha Uturuki katika umoja huo

    Erdogan: EU inafanya njama ya kutoijumuisha Uturuki katika umoja huo

    Nov 13, 2016 12:44

    Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema Umoja wa Ulaya unafanya njama ya kuishinikiza nchi yake iachane na mchakato wa kujiunga na umoja huo.

  • Jumanne, tarehe Mosi Novemba, 2016

    Jumanne, tarehe Mosi Novemba, 2016

    Oct 31, 2016 23:18

    Leo ni Jumanne tarehe Mosi Safar 1438 Hijria sawa na tarehe Mosi Novemba 2016.

  • Erdogan: Tutawanyonga waliohusika na jaribio la mapinduzi

    Erdogan: Tutawanyonga waliohusika na jaribio la mapinduzi

    Oct 30, 2016 03:54

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema serikali yake inapania kurejesha adhabu ya kifo kwa ajili ya kuwahukumu waliohusika na jaribio la mapinduzi lililofeli mwezi Julai mwaka huu.

  • Wabunge Iraq wapinga kuweko kijeshi Uturuki huko Iraq

    Wabunge Iraq wapinga kuweko kijeshi Uturuki huko Iraq

    Oct 16, 2016 04:36

    Wabunge wa Iraq wametaka Uturuki iwekewe vikwazo kama radiamali kwa kuwepo wanajeshi wa nchi hiyo huko Iraq.

  • Kukamatwa kaka wa Fethullah Gülen nchini Uturuki kwa tuhuma za ndugu yake

    Kukamatwa kaka wa Fethullah Gülen nchini Uturuki kwa tuhuma za ndugu yake

    Oct 03, 2016 23:23

    Polisi nchini Uturuki wamemtia mbaroni kaka wa Fethullah Gülen kwa tuhuma zilizo nyuma ya pazia za Ankara kwamba, alihusika katika mapinduzi ya kijeshi yaliyofeli mwezi Julai mwaka huu nchini humo.

  • Kuendelea ukosoaji juu ya siasa mbovu za ndani na nje za serikali ya Uturuki kuhusu Syria

    Kuendelea ukosoaji juu ya siasa mbovu za ndani na nje za serikali ya Uturuki kuhusu Syria

    Oct 03, 2016 04:47

    Vyama vya upinzani nchini Uturuki vimeendelea kukosoa vikali siasa za serikali ya chama tawala cha uadilifu na ustawi kutokana na ubinafsi wake.

  • Kuendelea kukosolewa siasa mbovu za ndani na nje za serikali ya Uturuki kuhusu Syria

    Kuendelea kukosolewa siasa mbovu za ndani na nje za serikali ya Uturuki kuhusu Syria

    Oct 03, 2016 00:27

    Vyama vya upinzani nchini Uturuki vimeendelea kukosoa vikali siasa za serikali ya chama tawala cha Uadilifu na Ustawi kutokana na ubinafsi wake.

  • Erdogan: EU iwe imeijumuisha Uturuki kufikia mwisho wa mwezi huu

    Erdogan: EU iwe imeijumuisha Uturuki kufikia mwisho wa mwezi huu

    Oct 02, 2016 04:50

    Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameupa Umoja wa Ulaya hadi mwisho wa mwezi huu uwe umekamilisha mchakato wa nchi hiyo kujiunga na EU.

  • Polisi ya Uturuki yawatawanya walimu kwa mabomu ya kutoa machozi

    Polisi ya Uturuki yawatawanya walimu kwa mabomu ya kutoa machozi

    Sep 11, 2016 00:04

    Polisi ya Uturuki imetumia mabomu ya kutoa machozi kutawanya mamia ya walimu waliofanya maandamano kulalamikia hatua ya serikali ya kuwapiga kalamu nyekundu walimu wenzao kwa sababu za kisiasa katika mji wa Diyarbakır.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS