-
Waziri Mkuu wa Uturuki athibitisha kuacha uongozi wa chama tawala
May 06, 2016 03:31Waziri Mkuu wa Uturuki Ahmet Davutoğlu, ametangaza rasmi kuwa ataacha uongozi wa chama tawala cha Uadilifu na Ustawi (AKP) na hivyo kulazimika pia kuachia madaraka ya Uwaziri Mkuu.
-
Mtazamo wa Rais Rouhani kuhusu jukumu la Iran na Uturuki katika usalama wa kieneo
Apr 17, 2016 03:11Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana alishiriki katika kikao cha pamoja cha waandishi habari na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki mjini Ankara na kusema kuleta uthabiti na usalama katika eneo ni jukumu la kisheria la nchi hizi mbili.
-
Rouhani asema ugaidi, Uzayuni ni tishio kwa Waislamu duniani
Apr 16, 2016 23:38Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema ugaidi na Uzayuni ni tishio kubwa zaidi kwa ulimwengu wa Kiislamu.
-
Rais wa Iran kushiriki kongamano la OIC mjini Istanbul, Uturuki
Apr 13, 2016 03:11Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hii leo anatazamiwa kuelekea mjini Istanbul nchini Uturuki kushiriki Kongamano la 13 la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC).
-
Urusi yaitaka Uturuki kuacha kuwasaidia magaidi
Apr 04, 2016 23:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameitaka Uturuki kuacha kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine na kuunga mkono ugaidi.
-
Jordan: Uturuki ndio muasisi wa misimamo ya kufurutu mipaka
Mar 25, 2016 21:37Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan amesema kuwa Uturuki ndio chimbuko la misimamo ya kufurutu katika eneo la Mashariki ya Kati na bara Ulaya.
-
Mazungumzo ya Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni ya Iran na Uturuki mjini Istanbul
Mar 19, 2016 13:10Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki wamekutana na kufanya mazungumzo mjini Istanbul na kujadili masuala ya uhusiano wa pande mbili, kieneo na kimataifa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Uturuki
Mar 19, 2016 04:09Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ameelekea Uturuki hii leo ambapo atafanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu wa serikali ya Ankara.
-
Uturuki yaomba msaada wa Iran kumaliza vita katika eneo
Mar 05, 2016 13:51Waziri Mkuu wa Uturuki Ahmet Davutoglu amesema Tehran na Ankara zinapaswa kuwa na ‘msimamo wa pamoja’ ili kumaliza migogoro katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Uturuki yaomba msaada wa Iran kumaliza vita katika eneo
Mar 05, 2016 12:13Waziri Mkuu wa Uturuki Ahmet Davutoglu amesema Tehran na Ankara zinapaswa kuwa na ‘msimamo wa pamoja’ ili kumaliza migogoro katika eneo la Mashariki ya Kati.