-
Kwa nini kizazi kipya cha Wamarekani hakiipendi tena Israel?
Jul 31, 2025 05:39Kwa miongo kadhaa, kuiunga mkono Israel nchini Marekani haukuwa tu msimamo wa kisiasa bali pia sehemu ya utambulisho wa taifa kwa raia wengi. Katika duru za kisiasa, vyombo vya habari, na taasisi za elimu ya juu, uaminifu kwa Israel ulionekana kama thamani ya pamoja ya Wamarekani. Lakini hali hiyo sasa imebadilika, hasa miongoni mwa vijana wa kizazi kipya.
-
Amir-Abdollahian: Mafanikio ya vijana wasomi wa Iran yanaonesha uwezo mkubwa wa ushirikiano na nchi rafiki
Jan 29, 2024 06:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameyataja mafanikio makubwa ya vijana wasomi wa nchi hii kuwa ni uthibitisho wa kuweko uwezo mkubwa wa kuendeleza diplomasia ya sayansi na ushirikiano katika uwanja wa teknolojia na nchi rafiki.
-
Tafakuri katika matukio ya hivi karibuni nchini Iran (nafasi ya vijana katika ushindi na kuyalinda Mapinduzi ya Kiislamu)
Oct 15, 2022 11:57Matukio na machafuko ya hivi karibuni katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamewapa maadui wa Iran fursa ya kuzidisha hujuma za kipropaganda na kisiasa na kutoa tathmini za kupotosha na kupindua hakika na ukweli wa mambo.
-
Kiongozi Muadhamu asifu nafasi ya vijana katika masuala muhimu ya nchi
Feb 20, 2021 13:39Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza nafasi ya kipekee ya tabaka la vijana katika masuala muhimu nchi na kueleza kuwa, uwepo wa kizazi hicho katika masuala hasasi ya nchi ni katika mafanikio na fakhari ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Vijana, Walinzi Imara na wa Daima wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 03, 2019 11:41Ujana ni kipindi kinachong'aa cha maisha ya mwanadamu ambacho japokuwa si kirefu lakini athari zake zinabakia muda mrefu na huwa na taahira kubwa katika maisha ya kiumbe huyo.
-
Homa ya mitindo na fasheni katika ulimwengu wa sasa
Jan 20, 2018 10:58Bila shaka wewe pia msomaji mpendwa, umeshawahi kukutana na watu wanaopendelea kuvaa mavazi ya aina makhsusi, au wanaotengeneza nywele zao kwa mtindo fulani wa aina yake, au wanaofanya harakati makhsusi katika mienendo na tabia zao.
-
Uchunguzi: Vijana wa Kiislamu nchini Uingereza wanabaguliwa katika kila sekta
Sep 07, 2017 14:25Uchunguzi mpya wa hivi karibuni unaonyesha kwamba, vijana wa Kiislamu wanaoishi nchini Uingereza wamekuwa wahanga wakubwa wa vitendo vya ubaguzi kuanzia shuleni, vyuo vikuu na hata maeneo ya kazi.
-
Utafiti: Vijana wengi Marekani wanasema Trump si rais halali
Mar 19, 2017 07:18Utafiti unaonyesha kuwa asilimia kubwa ya vijana wa Marekani wanamtazama Donald Trump kama rais ambaye si halali, mpuuzi na asiyekuwa na haiba ya uongozi.
-
Ijumaa tarehe 12 Agosti 2016
Aug 12, 2016 06:33Leo ni ijumaa tarehe 10 Dhulqaada 1437 Hijria sawa na 12 Agosti 2016.
-
Msaidizi wa Papa Francis atuhumiwa kuwalawiti watoto
Jul 29, 2016 04:17Polisi nchini Australia inachunguza madai ya liwati dhidi ya Mkuu wa Hazina ya Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Duniani Vatican, Kadinali George Pell.