-
Kuongezwa muda vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia
Mar 15, 2017 09:49Jumatatu iliyopita Umoja wa Ulaya, ulitangaza kurefusha vikwazo kwa muda wa miezi sita mingine dhidi ya shakhsia na mashirika kadhaa ya Russia na eneo la Crimea, yaani hadi tarehe 15 Septemba mwaka huu.
-
EU yarefusha vikwazo dhidi ya Russia
Mar 14, 2017 01:00Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa umerefusha vikwazo vilivyowekwa na umoja huo kwa shakhsia na mashirika ya Russia na eneo la Crimea kwa muda wa miezi sita yaani hadi kufikia Septemba 15.
-
Jibu baridi la Utawala wa Kizayuni kuhusu kuenea vikwazo dhidi yake
Mar 07, 2017 23:49Kufuatia kuimarika harakati ya kimataifa ya kuususia na kuuwekea vikwazo utawala wa Kizayuni wa Israel, bunge la utawala huo limepitisha sheria kuwazuia waungaji mkono wa vikwazo hivyo kuingia katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu.
-
Watu wa Canada wataka bidhaa za Israel zisusiwe
Mar 03, 2017 10:07Watu wa Canada wametaka bidhaa zinazotegenezwa Israel zisusiwe nchini humo kama njia ya kutetea haki za taifa la Palestina.
-
Makamu wa Rais wa Venezuela: US imeniwekea vikwazo kwa kupinga ubeberu
Feb 14, 2017 22:03Makamu wa Rais wa Venezuela, Tareck El Aissami amekosoa vikali hatua ya Marekani kumuwekea vikwazo eti kwa madai ya kuhusika na ulanguzi wa mihadarati.
-
Guterres ataka kuwekewa vikwazo wanaokiuka makubaliano ya amani Mali
Jan 17, 2017 04:22Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa amelitaka Baraza la Usalama la umoja huo kuwawekea vikwazo wahusika wakuu wa ukiukaji makubaliano ya amani nchini Mali.
-
Korea Kaskazini yamwandikia barua katibu mkuu mpya kushitakia vikwazo
Jan 07, 2017 12:18Serikali ya Korea Kaskazini imemwandikia barua António Guterres, Katibu Mkuu Mpya wa Umoja wa Mataifa ikilalamikia hatua ya kuongezwa vikwazo vya umoja huo dhidi yake.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia na kisingizio cha kuhujumu uchaguzi wa rais wa nchi hiyo
Dec 30, 2016 11:52Serikali ya Marekani imewafukuza wanadiplomasia 35 wa Russia na kuzidisha vikwazo dhidi ya nchi hiyo kwa kisingizio kwamba Moscow iliingilia zoezi la uchaguzi wa rais wa Marekani.
-
Serikali ya Marekani yawafukuza wanadiplomasia wa Russia
Dec 30, 2016 00:17Serikali ya Marekani imewafukuza nchini humo wanadiplomasia wa Russia kitendo ambacho kimeufanya uhusiano wa nchi mbili hizo kuingia katika hatua nyingine.
-
Umoja wa Mataifa wakataa wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini
Dec 23, 2016 23:39Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepinga wito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini, ambayo inashuhudia mapigano kwa mwaka wa nne sasa.