Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  • Waislamu; wahanga wa vitendo vya kibaguzi na kigaidi vya kumwagiwa tindikali nchini Uingereza

    Waislamu; wahanga wa vitendo vya kibaguzi na kigaidi vya kumwagiwa tindikali nchini Uingereza

    Jul 15, 2017 23:44

    Waislamu wa nchini Uingereza wangali wanakabiliwa na vitendo na mashambulizi ya kibaguzi na kigaidi katika sura mpya kutoka makundi ya mirengo ya kulia yenye misimamo mikali. Jinai mpya ya hivi karibuni ilitekelezwa usiku wa Alhamisi ambapo Waislamu watano walimwagiwa tindikali usoni.

  • Jumanne, 11 Julai, 2017

    Jumanne, 11 Julai, 2017

    Jul 10, 2017 22:40

    Leo ni Jumanne tarehe 16 Shawwal 1438 Hijria mwafaka na tarehe 11 Julai 2017.

  • Kikao cha kushukuru mchango wa Waislamu chafanyika nchini Brazil

    Kikao cha kushukuru mchango wa Waislamu chafanyika nchini Brazil

    Jul 07, 2017 03:20

    Kikao cha kuheshimu na kutambua mchango wa jamii ya Waislamu wa Brazil kilifanyika jana katika bunge la nchi hiyo.

  • Waislamu Ufaransa watahadharishwa kuhusu ongezeko la mashambulizi ya kigaidi

    Waislamu Ufaransa watahadharishwa kuhusu ongezeko la mashambulizi ya kigaidi

    Jul 03, 2017 08:25

    Viongozi wa makundi na jumuiya mbalimbali za Kiislamu nchini Ufaransa wamewatahadharisha wafuasi wa dini hiyo kuhusu uwezekano wa kuongezeka mashambulizi yanayowalenga Waislamu nchini humo.

  • Wanajeshi wa Saudia wamuua mkuu wa Baraza la Qur'ani huko Qatif

    Wanajeshi wa Saudia wamuua mkuu wa Baraza la Qur'ani huko Qatif

    Jun 25, 2017 10:58

    Wanajeshi wa utawala wa Saudi Arabia wamempiga risasi na kumuua mwenyekiti wa baraza la Qur'ani katika mji Awamiya katika eneo la Qatif mashariki mwa nchi hiyo.

  • Waislamu walioshiriki mazishi ya binti aliyeuawa Marekani walaani ubaguzi dhidi yao

    Waislamu walioshiriki mazishi ya binti aliyeuawa Marekani walaani ubaguzi dhidi yao

    Jun 22, 2017 09:47

    Waislamu walioshiriki mazishi ya binti wa Kiislamu aliyeuawa siku chache zilizopita na kijana mwenye chuki dhidi ya Uislamu huko katika jimbo la Virginia nchini Marekani, wamelaani vikali ongezeko la ubaguzi na chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.

  • Rais wa Ufaransa awapongeza Waislamu kwa kupambana na ugaidi, misimamo mikali

    Rais wa Ufaransa awapongeza Waislamu kwa kupambana na ugaidi, misimamo mikali

    Jun 21, 2017 09:35

    Raisi mpya wa Ufaransa ameipongeza jamii ya Waislamu wa nchi hiyo kutokana na mchango wake mkubwa katika kupambana na misimamo mikali na amesisitiza udharura wa kudumishwa mapambano dhidi ya ugaidi.

  • Wakimbizi wa Kiislamu Afrika ya Kati wana hali mbaya ya kibinaadamu

    Wakimbizi wa Kiislamu Afrika ya Kati wana hali mbaya ya kibinaadamu

    Jun 20, 2017 22:14

    Habari kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati zinaarifu kwamba, jumla ya wakimbizi 1500 wa Kiislamu waliolazimika kuyahama makazi yao kutokana na mapigano yanayoendelea nchini humo, wanakabiliwa na hali mbaya ya kibinaadamu eneo la Bangassou nchini humo.

  • Maandamano yafanyika Marekani baada ya kuuawa binti Muislamu

    Maandamano yafanyika Marekani baada ya kuuawa binti Muislamu

    Jun 20, 2017 03:39

    Habari ya kuuawa msichana mmoja wa Kiislamu nchini Marekani katika shambulizi lililofanywa na mtu mwenye chuki dhidi ya dini ya Uislamu katika jimbo la Virginia imezusha malalamiko na maandamano nchini humo.

  • Waislamu kote duniani watakiwa kushiriki kwa wingi Siku ya Kimataifa ya Quds

    Waislamu kote duniani watakiwa kushiriki kwa wingi Siku ya Kimataifa ya Quds

    Jun 20, 2017 03:31

    Mjumbe wa harakati ya Jihad Islami ya Palestina mjini Tehran ametoa mwito kwa Waislamu kote duniani kushiriki kwa wingi katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds Ijumaa ijayo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS