-
Boko Haram yaua watu watatu nchini Cameroon
Dec 24, 2017 15:40Duru za kieneo zimetangaza kuwa watu wasiopungua watatu wameuawa katika shambulio la kigaidi la kundi la wakufurishaji la Boko Haram, kaskazini mwa Cameroon.
-
Waislamu 6,700 wa Rohingya wameuawa Myanmar ndani ya mwezi mmoja pekee
Dec 14, 2017 15:55Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka MSF limesema kwa akali Waislamu 6,700 wa jamii ya Rohingya waliuliwa katika kipindi cha mwezi mmoja nchini Myanmar, tangu operesheni mpya iliyoungwa mkono na serikali ianzishwe na jeshi la nchi hiyo dhidi ya jamii hiyo ya wachache.
-
Rais wa Cameroon awaonya watu wenye silaha
Dec 02, 2017 04:13Rais Paul Biya wa Cameroon amewaonya watu wenye silaha wanaopigania kujitenga maeneo ya nchi hiyo yanayozungumza Kiingereza.
-
Watu 50 wauawa katika mapigano ya kikabila Sudan Kusini
Nov 29, 2017 16:21Watu wasiopungua 50 wameripotiwa kuuawa leo huko Sudan Kusini baada ya kutokea mapigano ya kikabila katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.
-
Wamarekani wazidi kupigana risasi kiholela, makumi wauawa na kujeruhiwa
Nov 17, 2017 04:10Watu 16 wameuawa na wengine 24 kujeruhiwa katika matukio 56 ya kupigana risasi kiholela yaliyotokea katika kipindi cha masaa 24 kwenye maeneo tofauti ya Marekani.
-
Idadi ya watu waliouawa katika shambulizi la jana la Boko Haram Nigeria yaongezeka
Nov 16, 2017 08:02Idadi ya watu waliouawa katika shambulizi la Jumatano ya jana lililofanywa na wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram, kaskazini mashariki mwa Nigeria imeongezeka na kufikia watu 18.
-
Wanajeshi watatu wa Minusma wauawa nchini Mali
Oct 27, 2017 07:46Askari jeshi watatu wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa huko Mali wameaga dunia baada ya bomu la kutegwa ardhini kulipuka na wengine wawili wamejeruhiwa.
-
Watu 3 wauawa katika ghasia zilizozuka baada ya imam kukamatwa Togo
Oct 17, 2017 15:08Kwa akali watu watatu wameuawa kwenye ghasia katika mji wa Sokode kaskazini mwa Togo, baada ya imam wa msikiti mmoja katika eneo hilo kukamatwa na maafisa wa polisi.
-
HRW, AI: Polisi ya Kenya imeua watu zaidi ya 67 katika maandamano
Oct 16, 2017 08:17Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Human Rights Watch na Amnesty International yamesema polisi ya Kenya imeua watu wasiopungua 50 katika maandamano ya upinzani ya kushinikiza mabadiliko kwenye Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC, kuelekea uchaguzi wa marudio wa Oktoba 26.
-
8 waaga dunia na kujeruhiwa baada ya ndege ya mizigo kuanguka Kodivaa
Oct 15, 2017 07:54Raia wanne wa Moldova wamepoteza maisha huku wengine wanne wakijeruhiwa baada ya ndege ya mizigo iliyokodishwa na jeshi la Ufaransa kuanguka baharini, karibu na uwanja wa kimataifa wa ndege wa mji mkuu wa Ivory Coast, Abidjan.