-
Mamia ya walimu wauawa katika eneo la Ziwa Chad
May 01, 2017 07:31Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Watoto (UNICEF) umesema kuwa, walimu 600 wameuawa katika eneo la Ziwa Chad kwenye mashambulizi ya genge la kigaidi la Boko Haram tangu mwaka 2009.
-
Mripuko wajeruhi watu wawili mjini Mogadishu, Somalia
Apr 29, 2017 15:31Duru za usalama nchini Somalia zimetangaza habari ya kutokea mripuko wa bomu mjini Mogadishu Somalia na kujeruhi watu wawili.
-
Watu 20 wauawa katika mapigano ya kikabila Kasai, DRC
Apr 27, 2017 07:51Watu wasiopungua 20 wameuawa katika mapigano ya kikabila yaliyotokea katika eneo la Kasai ya Kati huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Idadi ya walioaga dunia kwa homa ya uti wa mgongo Nigeria ni ya kuogofya
Apr 20, 2017 14:16Wizara ya Afya ya Nigeria imesema idadi ya watu walioaga dunia kufikia sasa kutokana na homa ya uti wa mgongo imefikia 745.
-
Polisi Tanzania yaanzisha operesheni maalum baada ya kuuawa polisi 8
Apr 15, 2017 07:45Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amelaani mauaji ya askari polisi wanane wa nchi hiyo waliouawa kwa kushambuliwa na watu wenye silaha siku ya Alhamisi katika eneo la Jaribu Mpakani, Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani nchini humo, huku polisi ikianzisha operesheni maalumu kufuatia mauaji hayo.
-
Moto waua na kujeruhi watu 109 katika Ijitimai ya Waislamu wa Kisufi, Senegal
Apr 13, 2017 16:58Watu wasiopungua 22 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 80 wamejeruhiwa katika ajali ya moto iliyotokea kwenye Ijitimai ya Waislamu wa Kisufi wa tariqa ya Tijaniyyah nchini Senegal.
-
Mafuriko, maporomoko ya udongo yaua 250 nchini Colombia
Apr 02, 2017 08:04Kwa akali watu 254 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo katika mkoa wa Putumayo kusini mwa Colombia.
-
Jeshi la Syria laangamiza magaidi zaidi ya 2000 wa kitakfiri, Hama
Mar 31, 2017 14:52Jeshi la Syria limefanikiwa kuangamiza maelfu ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Jabhat Fateh al-Sham karibu na mji wa Hama, ulio magharibi mwa nchi.
-
Makumi ya watu waaga dunia kwa malaria Zimbabwe
Mar 28, 2017 03:54Wizara ya Afya ya Zimbabwe imetangaza kuwa watu wasiopungua 150 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa malaria nchini Zimbabwe katika muda wa miezi miwili iliyopita.
-
Watoaji misaada ya kibinadamu sita wauawa Sudan Kusini
Mar 27, 2017 07:59Wahudumu sita wa asasi za kutoa misaada ya kibinadamu wameuawa katika mazingira ya kutatanisha nchini Sudan Kusini.