-
Magaidi watano wauawa, 16 watiwa mbaroni kaskazini mwa Misri
Mar 26, 2017 13:41Jeshi la Misri leo limetoa taarifa na kusema kuwa, limefanikiwa kuua magaidi watano na kuwatia mbaroni wengine 16 katika operesheni maalumu iliyofanywa na jeshi hilo kaskazini mwa Misri.
-
Kiongozi wa Daesh auawa mashariki mwa Algeria
Mar 26, 2017 13:23Jeshi la Algeria limetangaza habari ya kuuawa kiongozi mmoja wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) katika eneo la Jabal al Wuhush la jimbo la Constantine, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Wanajeshi kadhaa wa Misri wauawa katika mripuko wa bomu Sinai
Mar 26, 2017 07:17Wanajeshi wanne wa Misri wameuawa baada ya gari lao kulengwa kwa bomu katika Peninsula ya Sinai.
-
Makumi wauawa katika mashambulizi ya waasi CAR
Mar 25, 2017 16:25Zaidi ya watu 50 wameuawa katika mashambulizi yanayofanywa maasi wanaobeba silaha huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Askari 10 wa Misri wauawa katika hujuma ya bomu Sinai
Mar 24, 2017 07:36Wanajeshi zaidi ya 10 wa Misri wameuawa baada ya gari walimokuwa kulengwa kwa shambulio la bomu katikati mwa Peninsula ya Sinai.
-
Wahajiri zaidi ya 250 wahofiwa kufariki dunia katika bahari ya Mediterania
Mar 24, 2017 04:34Zaidi ya wahajiri 250 wanaaminika kuwa wamezama baharini baada ya mitumbwi miwili waliyokuwa wakisafiria kugunduliwa na boti ya uokozi katika pwani ya Libya.
-
Watu 33 wauawa katika hujuma ya anga ya Marekani nchini Syria
Mar 22, 2017 16:16Makumi ya raia wameuawa katika shambulio la anga la muungano wa kijeshi wa Marekani katika mkoa wa kaskazini wa Raqqah nchini Syria.
-
Miripuko mitatu yaua watu kadhaa karibu na mji wa Maiduguri, Nigeria
Mar 19, 2017 16:30Hali ya taharuki imeukumba mji wa Maiduguri, kufuatia miripuko mitatu ya kigaidi iliyotokea karibu na mji huo na kuua watu kadhaa na wengne kujeruhiwa.
-
UNICEF: Watoto zaidi ya 600 wameuawa nchini Syria 2016
Mar 15, 2017 02:29Mfuko wa Kushughulikia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umesema mamia ya watoto waliuawa mwaka jana 2016 katika mgogoro wa Syria, mwaka unaotajwa kuwa mbaya zaidi kuuliwa watoto nchini humo.
-
Idadi ya waliouawa na kimbunga Madagascar yapindukia 50
Mar 12, 2017 04:34Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na Kimbunga cha Enawo katika kisiwa cha Madagascar imepindukia watu 50.