-
Askari 15 wa Somalia wauawa katika hujuma ya al-Shabaab
May 01, 2016 14:09Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limeua askari 15 wa jeshi la Somalia sanjari na kuchukua udhibiti wa mji wa Runirgood, yapata kilomita 180 kaskazini mashariki mwa mji mkuu Mogadishu.
-
Serikali: Mripuko wa kipindupindu umeua watu 45 Zanzibar
Apr 28, 2016 15:15Wizara ya Afya ya Zanzibar imesema kwa akali watu 45 wamepoteza maisha kutokana na mripuko wa kipindupindu tangu mwezi uliopita wa Machi hadi sasa.
-
Watu 11 wauwa kwa kupigwa risasi Cape Verde
Apr 27, 2016 14:32Watu 11 wakiwemo askari wanane wameuawa kwa kufyatuliwa risasi viungani mwa mji mkuu wa kisiwa cha Cape Verde.
-
Umwagaji damu waendelea Burundi, watu wengine 4 waua
Apr 21, 2016 15:23Watu wanne wameuawa katika matukio mawili tofauti katika kile kinachoonekana ni mauaji ya kulipiza kisasi kati ya maafisa wa serikali na waasi nchini Burundi.
-
Zaidi ya 100 waaga dunia katika wimbi la joto kali nchini India
Apr 21, 2016 15:22Watu zaidi ya 100 wamepoteza maisha kutokana na joto kali nchini India, ambalo limepelekea kufungwa mashule na kukwamisha shughuli mbalimbali za kila siku.
-
Makumi wauawa katika shambulizi la bomu Kabul, Afghanistan
Apr 19, 2016 07:56Makumi ya watu wameuawa na mamia ya wengine kujeruhiwa katika mripuko wa bomu ulioutikisa mji wa Kabul karibu na ubalozi wa Marekani nchini Afghanistan mapema leo.
-
Mapigano ya polisi na raia yaua watu kadhaa Congo DR
Apr 18, 2016 04:48Mapigano yaliyotokea baina ya polisi na raia wa kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yamesababisha mauaji ya watu kadhaa.
-
Ethiopia: Wabeba silaha wa Sudan Kusini wameua raia wetu 140
Apr 17, 2016 13:29Serikali ya Ethiopia imesema raia wake 140 wameuawa na kundi la wabeba silaha kutoka Sudan Kusini katika jimbo la Gambela katika mpaka wa nchi mbili hizo.
-
Mitetemeko ya ardhi yaitikisa kusini mwa Japan, zaidi ya 16 waaga
Apr 16, 2016 07:55Zilzala ya pili yenye ukubwa wa 7.3 kwa kipimo cha rishta imeutikisa mji wa Kumamoto, katika kisiwa cha Kyushu eneo la kusini mwa Japan mapema leo na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 16 huku mamia ya wengine wakijeruhiwa na wengine wengi kuachwa bila makazi.
-
Makumi waaga dunia kutokana na homa ya manjano DRC
Apr 13, 2016 07:08Mripuko wa homa ya manjano umesababisha vifo vya watu wasiopungua 21 katika Jamhuri ya Kidemorasia ya Kongo.