-
Mapigano yashtadi Libya, waliouawa Tripoli wapindukia 96
Sep 21, 2018 13:52Wizara ya Afya nchini Libya imetoa indhari juu ya kushadidi mapigano katika mji mkuu Tripoli, ambapo idadi ya waliouawa katika ghasia hizo imeongezeka na kufikia watu 96, wakiwemo raia.
-
Watu 19 wauawa katika shambulio la wanamgambo kaskazini mashariki mwa Nigeria
Aug 20, 2018 07:49Duru za habari zimeripoti kuwa watu 19 wameuliwa katika shambulio lililofanywa na wanamgambo katika kijiji kimoja kilichoko kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Wahajiri wanne wapoteza maisha baada ya boti kuwaka moto Tunisia
Aug 19, 2018 15:18Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imetangaza habari ya kupoteza maisha wahajiri wanne baada ya boti yao kuungua moto katika fukwe za Sfax, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Watu 75 wauawa na kujeruhiwa katika mapigano ya kikabila Sudan Kusini
Aug 14, 2018 15:01Maafisa wa serikali ya Sudan Kusini wametangaza kuwa watu 23 wameuliwa na wengine 52 wamejeruhiwa katika mapigano ya kikabila yaliyotokea magharibi mwa nchi hiyo.
-
Watu 22 wapoteza maisha na maelfu wakosa makazi kutokana na mafuriko Niger
Aug 10, 2018 03:55Waziri mmoja wa Niger amesema kuwa, watu wasiopungua 22 wamefariki dunia na maelfu ya wengine wamepoteza makazi yao kutokana na mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Ndege za Saudia zashambulia basi la watoto, kwa akali raia 50 wameuawa
Aug 09, 2018 15:32Ndege za muungano vamizi wa Saudia zimeshambulia basi lililokuwa limebeba watoto kati mji wa Dhahiyan wa jimbo la Saada na kuua makumi ya raia wengi wao wakiwa watoto wa shule.
-
Magaidi washambulia msikiti Afghanistan na kuua waumini 25 katika Swala ya Ijumaa
Aug 03, 2018 15:29Magaidi wakufurishaji wameushambulia msikiti wakati wa Swala ya Ijumaa katika mkoa wa Paktia mashariki mwa Afghanistan na kuua waumini wasiopungua 25 na kujeruhi wengine zaidi ya 40.
-
Iran yalaani shambulizi la Saudia dhidi ya sherehe ya harusi lililoua 11 Yemen
Jul 04, 2018 07:33Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulizi la anga lililofanywa na ndege za kivita za muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia, dhidi ya mkusanyiko wa watu waliokuwa katika sherehe ya harusi wilayani Al Dhaher katika mkoa wa Saada nchini Yemen jana Jumanne.
-
Watu 10 wauawa katika mapigano ya kikabila magharibi mwa Ethiopia
Jun 29, 2018 07:36Watu wasiopungua kumi wameuawa katika mapigano ya kikabila yaliyotokea magharibi mwa Ethiopia.
-
Askari 5 wa Marekani wauawa na kujeruhiwa na al-Shabaab Somalia
Jun 09, 2018 08:05Askari mmoja wa Marekani ameuawa huku wengine wanne wakijeruhiwa katika operesheni ya pamoja ya vikosi vya US na askari wa Umoja wa Afrika dhidi ya ngome ya wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab nchini Somalia.