-
Sadr aitisha maandamano ya "watu milioni moja" Iraq ya kulaani kuwepo kijeshi kwa Marekani
Jan 15, 2020 08:05Kiongozi wa Harakati ya Sadr nchini Iraq ametoa mwito kwa wananchi kufanya maandamano ya watu wasiopungua milioni moja ya kulaani kuwepo kijeshi Marekani nchini humo.
-
Bunge la Iraq lapitisha mpango wa kuwatimua askari wa jeshi la Marekani walioko nchini humo + Video
Jan 05, 2020 16:18Bunge la Iraq limepiga kura na kupitisha mpango uliopendekezwa na wabunge wa kuhitimisha makubaliano ya kijeshi yaliyofikiwa kati ya nchi hiyo na Marekani na kuwataka wanajeshi wa Marekani waondoke nchini humo.
-
Mpango wa Pentagon wa kuongeza idadi ya askari wa Marekani barani Ulaya kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa
Dec 11, 2019 08:11Donald Trump, rais machachari na mwenye makeke wa Marekani amewahi kusikika mara kadhaa akiwalaumu na kuwakosoa waitifaki wa Washington wa barani Ulaya na hata kutishia kwamba, nchi yake haitakuwa tayari kuendelea kugharimika kwa ajili ya usalama wa nchi za bara hilo; hata hivyo mpango uliotangazwa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon wa kuongeza idadi ya askari wa nchi hiyo barani Ulaya umeyatoa maanani madai hayo ya Trump.
-
Sera za undumilakuwili za Marekani nchini Syria
Dec 06, 2019 08:04Tangu mwaka 2014, Marekani imejiingiza kijeshi kinyume cha sheria nchini Syria kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la Daesh; na hivi sasa pia, licha ya madai ya rais wa nchi hiyo Donald Trump kwamba imejiondoa kijeshi katika ardhi ya Syria, imeshatafuta kisingizio kingine kipya ili kurefusha muda wa kuweko askari wake nchini humo.
-
Uwepo wa askari wa Kimarekani Afghanistan, chanzo cha ukosefu wa ajira
Dec 05, 2019 01:21Uchunguzi uliofanywa hivi karibuni nchini Afghanistan umeonyesha kwamba, uwepo wa askari vamizi wa Kimarekani ndio sababu ya kuongezeka kiwango cha ukosefu wa ajira kwa raia wa nchi hiyo.
-
Wanajeshi wa Marekani warejea kaskazini mashariki mwa Syria
Oct 29, 2019 02:54Mamia ya wanajeshi wa Marekani ambao hivi karibuni waliondoka kaskaizni mwa Syria na kuelekea Iraq wamerejea katika kambi zao za awali huku wakiwa na zana chungu nzima.
-
Kutuma Pentagon wanajeshi na zana mpya za kijeshi nchini Saudi Arabia; harakati ya kimaonyesho
Oct 13, 2019 02:24Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akidai kwamba anawaunga mono na kuwahami waitifaki wake katika eneo la Ghuba ya Uajemi. Katika uwanja huo, Saudi Arabia ikiwa mshirika mkuu wa Washingtn katika eneo hili, ina nafasi maalumu katika siasa za kikanda za serikali ya Trump.
-
Mamia ya wanajeshi wa Marekani na malori 250 yenye silaha waingia Syria
Jan 26, 2019 04:33Katika hali ambayo Washington inadai kuwa ina mpango wa kuondoa wanajeshi wake huko Syria; kundi moja linalofahamika kama Kundi la Kutetea Haki za Binadamu la Syria limeripoti habari kuhusu kuwasili nchini humo mamia ya wanajeshi wa Marekani wakiwa na makumi ya malori yenye silaha.
-
Bunge la Iraq lataka kutimuliwa nchini humo askari wa Marekani
Nov 11, 2018 13:32Mwanasiasa wa ngazi za juu wa Iraq amesema Bunge la nchi hiyo linatazamiwa kujadili hoja ya kuondoka kikamilifu wanajeshi wa Marekani katika nchi hiyo ya Kiarabu huku Baghdad ikiituhumu Washington kuwa inaingilia masuala yake ya ndani.
-
Askari 5 wa Marekani wauawa na kujeruhiwa na al-Shabaab Somalia
Jun 09, 2018 08:05Askari mmoja wa Marekani ameuawa huku wengine wanne wakijeruhiwa katika operesheni ya pamoja ya vikosi vya US na askari wa Umoja wa Afrika dhidi ya ngome ya wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab nchini Somalia.