-
Namibia yawa nchi ya kwanza Afrika kuwa na Rais na Makamu wa Rais mwanamke
Mar 24, 2025 03:40Rais mpya wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah ametangaza Baraza lake la Mawaziri la kwanza na kumteua Lucia Witbooi kuwa Makamu wa Rais wa kwanza mwanamke wa taifa hilo.
-
Netumbo Nandi aapishwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia
Mar 21, 2025 14:42Netumbo Nandi Ndaitwah ameapishwa leo Ijumaa kuwa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia, baada ya kushinda uchaguzi mwaka jana.
-
Israel yashambulia upya Gaza, yaua mamia ya Watoto na wanawake
Mar 18, 2025 07:44Jeshi la utawal katili wa Israel limeua Wapalestina wasiopungua 350, ambao wengi wao ni wanawake na watoto, katika maeneo yote ya Ukanda wa Gaza wakati wa ukiukwaji mkubwa wa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Tel Aviv na vikosi vya Muqawama vya Palestina vilivyoko Gaza.
-
Wanawake wa Iran wanastawi kwa kasi licha ya vikwazo
Mar 16, 2025 02:49Licha ya vikwazo, wanawake wa Iran wanaendelea kuwa na azma thabiti ya kujenga mustakabali wa haki zaidi.
-
Wanawake wa Palestina wanalishwa futari zilizooza kwenye jela za Israel
Mar 11, 2025 11:35Mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa kidhulma katika jela za Israel ikiwemo ile jela ya Damon wanaishi katika mateso makubwa yasiyoelezeka hasa ndani ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhani ikiwa ni pamoja na kulazimishwa kula vyakula vilivyooza wakati wa futari na kutangaziwa nyakati sizo za wakati wa daku na futari.
-
Siku ya Wanawake; Iran yataka Israel itimuliwe UN + Picha
Mar 09, 2025 06:46Ofisi ya Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa imetaka utawala wa Kizayuni utimuliwe kutoka kwenye umoja huo kutokana na jinai kubwa unazofanya dhidi ya wananchi wa kawaida wa Palestina hasa wanawake na watoto wadogo.
-
Mjumbe wa UN ataka kuimarishwa hadhi ya wanawake nchini Libya
Mar 09, 2025 06:43Hanna Serwaa Tetteh, mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ambaye pia ni mkuu wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo UNSMIL ametoa mwito wa kuinuliwa hadhi ya wanawake nchini Libya.
-
Kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Wanawake: Zaidi ya wanawake 12,000 wa Kipalestina wameuawa katika vita vya Gaza
Mar 08, 2025 12:54Idara ya Habari ya Serikali ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa: Wanawake 12,316 wa Kipalestina wameuawa shahidi katika vita vya mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni Israel dhidi ya watu wa Gaza.
-
"Kutokomeza umaskini miongoni mwa wanawake kutachukua miaka 130"
Mar 08, 2025 07:00Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameashiria matatizo yanayoendelea kuwakabili wanawake na wasichana duniani kote, akionya kwamba "kutokomeza umaskini uliokithiri miongoni mwa wanawake na wasichana kutachukua miaka 130."
-
Mwanamke Mlebanoni aliyekaidi marufuku ya kuinua picha ya Nasrullah kwenye Uwanja wa Ndege wa Beirut azungumza
Feb 23, 2025 12:40Asmaa Bzeih mwanamke kijana Mlebanoni mwenye umri wa miaka 27 ambaye amekuwa nembo ya upinzani baada ya hivi karibuni kukabiliana na maafisa husika katika uwanja wa ndege wa Beirut amesema kuwa dunia inapasa kuungana na Muqawama.