Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Zimbabwe

  • Wapinzani kuandamana dhidi ya serikali nchini Zimbabwe

    Wapinzani kuandamana dhidi ya serikali nchini Zimbabwe

    Nov 27, 2018 08:01

    Chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe kimetangaza Alkhamisi ya kesho kutwa kuwa siku ya kufanya maandamano ya kitaifa dhidi ya serikali.

  • Basi lililokuwa likielekea A/Kusini laripuka na kuua abiria 43 Zimbabwe

    Basi lililokuwa likielekea A/Kusini laripuka na kuua abiria 43 Zimbabwe

    Nov 16, 2018 14:40

    Watu wasiopungua 43 wamethibitishwa kupoteza maisha baada ya basi la abiria kuripuka na kushika moto usiku wa kuamkia leo nchini Zimbabwe.

  • Rais Mnangagwa: Zimbabwe ina hifadhi kubwa ya mafuta na gesi

    Rais Mnangagwa: Zimbabwe ina hifadhi kubwa ya mafuta na gesi

    Nov 02, 2018 07:28

    Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amefichua kuwa, nchi hiyo ina hifadhi kubwa ya mafuta na gesi katika mji wa Muzarabani ulioko kaskazini mwa nchi.

  • Mzimbabwe adai kutibu UKIMWI, WHO yasisitiza hakuna tiba

    Mzimbabwe adai kutibu UKIMWI, WHO yasisitiza hakuna tiba

    Nov 01, 2018 06:52

    Shirika la Afya Duniani WHO limesema hadi sasa hakuna tiba ya ugonjwa hatari wa Ukimwi na wagonjwa nchini Zimbabwe wanaotumia dawa za kupunguza makali ya virusi vinavyosababisha ugonjwa huo, VVU waendelee kuzitumia.

  • Upizani Zimbabwe: Rais Mnangagwa hana uhalali wa kuongoza

    Upizani Zimbabwe: Rais Mnangagwa hana uhalali wa kuongoza

    Oct 24, 2018 02:52

    Kiongozi wa chama cha upinzani cha MDC nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa ametoa mwito wa kuundwa Mamlaka ya Kitaifa ya Mpito akisisitiza kuwa hiyo ndiyo njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro kuhusu uhalali wa serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa.

  • Mnangagwa: Kodi mpya inahitajika kwa ajili ya kufufua uchumi

    Mnangagwa: Kodi mpya inahitajika kwa ajili ya kufufua uchumi

    Oct 09, 2018 02:34

    Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amesema kuwa kodi mpya kwa malipo ya kielektroniki iliyotangazwa nchini humo inaumiza lakini ni sehemu muhimu ya jitihada za serikali za kufufua uchumi.

  • China: Hatuna azma ya 'kuikoloni' Zimbabwe licha ya kushindwa kutulipa madeni yetu

    China: Hatuna azma ya 'kuikoloni' Zimbabwe licha ya kushindwa kutulipa madeni yetu

    Oct 02, 2018 08:19

    China imesema Beijing haina nia wala mpango wa kunyakua na kudhibiti mali za Zimbabwe licha ya serikali ya Harare kushindwa kuilipa nchi hiyo malimbikizo ya madeni yake.

  • WHO: Idadi ya walioaga dunia kwa kipindupindu Zimbabwe yafikia 45

    WHO: Idadi ya walioaga dunia kwa kipindupindu Zimbabwe yafikia 45

    Sep 26, 2018 08:01

    Watu wasiopungua 45 wamepoteza maisha kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini Zimbabwe wiki tatu zilizopita. Hayo yameelezwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) huku likitaja aina hiyo ya mlipuko wa waba kuwa wenye kushindikana kutibika kwa aina mbalimbali za dawa.

  • Wabunge wa upinzani Zimbabwe wasusia hotuba ya Rais Mnangagwa

    Wabunge wa upinzani Zimbabwe wasusia hotuba ya Rais Mnangagwa

    Sep 18, 2018 14:42

    Wabunge wa kambi ya upinzani nchini Zimbabwe mapema leo wameondoka bungeni na kususia hotuba ya Rais wa nchi hiyo, Emmerson Mnangagwa, ikiwa ni ishara ya hasira zao dhidi ya matokeo ya uchaguzi uliozusha utata wa rais ambayo yalimpa ushindi kiongozi wa chama tawala.

  • Kiongozi wa upinzani Zimbabwe aakhirisha kula kiapo

    Kiongozi wa upinzani Zimbabwe aakhirisha kula kiapo

    Sep 14, 2018 23:58

    Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Zimbabwe ameakhirisha mipango ya kushiriki katika hafla ya kujiapisha kama rais wa nchi iliyokuwa imepangwa kufanyika leo (Jumamosi) baada ya polisi kupiga marufuku mikutano na mijumuiko ya wananchi kufuatia nchi hiyo kuathiriwa na mlipuko wa kipindupindu kilichouwa watu 26 hadi sasa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS