Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Zimbabwe

  • Polisi nchini Zimbabwe yamtia mbaroni kiongozi wa upinzani

    Polisi nchini Zimbabwe yamtia mbaroni kiongozi wa upinzani

    Jun 26, 2018 10:58

    Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe amekamatwa na polisi ya nchi hiyo baada ya kushinikiza kujiuzulu kwa mkuu wa Tume ya Uchaguzi, mwezi mmoja kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini humo.

  • Watu wawili wamekufa kufuatia majeraha ya mlipuko uliotokea Zimbabwe

    Watu wawili wamekufa kufuatia majeraha ya mlipuko uliotokea Zimbabwe

    Jun 26, 2018 03:24

    Watu wawili wameaga dunia Zimbabwe kutokana na majeraha waliyopata kwenye mlipuko uliotokea katika mkutano wa hadhara wa kampezi za uchaguzi huko Bulawayo siku ya Jumamosi.

  • Mnangagwa: Nilikuwa karibu sana na mlipuko; uchaguzi utaendelea kama ilivyopangwa + Video

    Mnangagwa: Nilikuwa karibu sana na mlipuko; uchaguzi utaendelea kama ilivyopangwa + Video

    Jun 24, 2018 08:46

    Rais wa Zimbabwe amesema kuwa uchaguzi wa rais nchini humo utafanyika tarehe 30 Julai kama ilivyopangwa licha ya kile kinachosemekana ni jaribio la kutaka kumua jana Jumamosi.

  • Iran yalaani jaribio la mauaji dhidi ya Rais wa Zimbabwe

    Iran yalaani jaribio la mauaji dhidi ya Rais wa Zimbabwe

    Jun 24, 2018 03:03

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali jaribio lililofeli la mauaji dhidi ya Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa katika mji wa Bulawayo jana Jumamosi.

  • Rais wa Zimbabwe: Siku yangu ya kufa bado haijafika + Video

    Rais wa Zimbabwe: Siku yangu ya kufa bado haijafika + Video

    Jun 24, 2018 00:15

    Rais wa Zimbabwe amesema baada ya kunusurika kifo katika mlipuko wa jana kwamba, siku yake ya kufa ilikuwa haijafika.

  • Bunge la Zimbabwe latupilia mbali mpango wa kumsaili Mugabe

    Bunge la Zimbabwe latupilia mbali mpango wa kumsaili Mugabe

    Jun 12, 2018 02:40

    Bunge la Zimbabwe limetupilia mbali mpango wa kutaka kumsaili rais wa zamani wa nchi hiyo, Robert Mugabe, kuhusu utendaji wa migodi ya almasi wakati wa uongozi wake.

  • Uchaguzi mkuu wa Zimbabwe kufanyika tarehe 30 Julai

    Uchaguzi mkuu wa Zimbabwe kufanyika tarehe 30 Julai

    May 30, 2018 10:48

    Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ametangaza kuwa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo utafanyika tarehe 30 Julai.

  • Wafanyakazi wa sekta ya umma Zimbabwe wakataa nyongeza kubwa ya mshahara

    Wafanyakazi wa sekta ya umma Zimbabwe wakataa nyongeza kubwa ya mshahara

    May 15, 2018 22:48

    Wafanyakazi wa sekta ya umma nchini Zimbabwe wamekataa nyongeza ya mshahara ya asilimia 15 iliyoahidiwa na serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa wa nchi hiyo na wametaka kuzidishwa zaidi ya mara mbili mshahara wa watumishi wa kiwango cha chini.

  • Mugabe aitwa bungeni ajieleze kuhusu faili la ufisadi wa fedha

    Mugabe aitwa bungeni ajieleze kuhusu faili la ufisadi wa fedha

    Apr 20, 2018 10:00

    Rais wa Zamani wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe ametakiwa kufika bungeni kwa ajili ya kutoa ushahidi kuhusiana na madai ya ufisadi wa fedha yaliyofanywa na serikali yake.

  • Mnangagwa: Sheria mpya ya uwekezaji Zimbabwe kutoa fursa za kiuchumi kwa wawekezaji kutoka nje

    Mnangagwa: Sheria mpya ya uwekezaji Zimbabwe kutoa fursa za kiuchumi kwa wawekezaji kutoka nje

    Apr 18, 2018 22:34

    Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amesema kuwa nchi hiyo inashughulikia sheria mpya ya uwezekaji ili kutoa fursa za kiuchumi kwa wawekezaji kutoka nchi za nje. Rais wa Zimbabwe amesema wameamua kushughulikia suala hilo ikiwa ni sehemu ya jitihada za serikali yake za kufufua uchumi wa nchi hiyo uliozorota katika miaka ya mwisho ya utawala wa Rais Robert Mugabe.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS