-
Jumatano tarehe 18 Aprili, 2018
Apr 17, 2018 23:32Leo ni Jumatano tarehe Mosi Shaaban mwaka 1439 Hijria sawa na tarehe 18 Aprili 2018.
-
Zimbabwe yataka kuimarisha zaidi uhusiano wake na Iran
Apr 05, 2018 10:14Makamu wa Rais wa Zimbabwe amehimiza kuimarishwa uhusiano wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kuimarika uhusiano wa Zimbabwe na China
Apr 04, 2018 21:09Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amemshukuru rais mwenzake wa China Xi Jinping kwa uungaji mkono wa kisiasa wa nchi hiyo kwa Zimbabwe na kutaka kuimarishwa zaidi uhusiano wa pande mbili.
-
Mke wa Mugabe wa Zimbabwe achunguzwa kwa magendo ya vipusa
Mar 25, 2018 06:29Serikali ya Zimbabwe imeanzisha uchunguzi dhidi ya mke wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe kwa tuhuma za kuhusika na magendo ya vipusa.
-
Rais Mnangagwa ashangazwa na kusajiliwa vyama 112 vya siasa Zimbabwe
Mar 23, 2018 02:56Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ameeleza kushtushwa na ripoti zinazosema kuwa nchi hiyo imesajili makumi ya vyama vya siasa vitakavyochuana na chama tawala Zanu-PF katika uchaguzi mkuu ujao.
-
Rais wa Zimbabwe awasamehe wafungwa 3,000
Mar 22, 2018 11:06Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ambaye alichukua madaraka baada ya mtangulizi wake Robert Mugabe kulazimishwa kujiuzulu mwezi Novemba mwaka jana, amewasamehe wafungwa zaidi ya 3,000 kwa lengo la kupunguza msongamano mkubwa kwenye magereza ya nchi hiyo.
-
Mnangagwa: Fedha za Wazimbabwe zilizokuwa zimefichwa nje ya nchi zimerejeshwa
Mar 19, 2018 12:01Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amesema leo kuwa chini ya nusu ya fedha zilizofichwa nje ya nchi na shakhsia na makampuni mbalimbali zimerejeshwa nchini baada ya kufikia ukomo muhula wa siku 90 zilizotolewa na ameonya kuwa wale wote ambao hawajawajibika watashtakiwa.
-
UN yaunga mkono kufanyika uchaguzi Julai nchini Zimbabwe
Mar 18, 2018 13:10Umoja wa Mataifa umesema kuwa unaunga mkono mpango wa kufanyika uchaguzi wa rais nchini Zimbabwe mwezi Julai mwaka huu.
-
Rais Mnangagwa amjibu Mugabe; asema Zimbabwe imesonga mbele baada ya utawala wake
Mar 17, 2018 04:16Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amesema kuwa, nchi hiyo imeshapiga hatua baada ya kumwondoa madarakani kiongozi wa zamani wa nchi hiyo Robert Mugabe.
-
Mugabe: Sikudhani kuwa Mnangagwa atanigeuka
Mar 16, 2018 01:13Rais wa zamani wa Zimbabwe amesema kuwa hakufikiria kuwa rais wa sasa wa nchi hiyo, Emmerson Mnangagwa angemgeuka na kusimama dhidi yake na amelaani hatua ya Mnangagwa ya kumuondoa madarakani kwa njia ya mapinduzi.