-
Zimbabwe: Tutaendelea kushirikiana na Iran kutetea Wapalestina
Feb 23, 2017 09:49Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amezikosoa baadhi ya nchi zinazojiita za Kiislamu kwa kushindwa kusimama kidete kutetea maslahi ya Wapalestina.
-
Mwanaharakati Zimbabwe asema atachuana na Mugabe uchaguzi wa 2018
Feb 19, 2017 04:16Kiongozi wa harakati ya malalamiko ya wananchi nchini Zimbabwe ametangaza kuwa atagombea kiti cha rais dhidi ya Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo katika uchaguzi unaotazamiwa kufanyika mwakani.
-
Madaktari wafanya tena mgomo nchini Zimbabwe
Feb 16, 2017 04:00Madaktari, wauguzi na wahudumu wengine wa afya wameanza mgomo wa nchi nzima kushinikiza nyongeza ya mishahara na kuboreshwa mazingira ya kufanyia kazi.
-
Wakulima Wazungu wanakabiliwa na njaa nchini Zimbabwe
Feb 14, 2017 22:05Kwa akali wakulima 1000 Wazungu wanakabiliwa na hali mbaya ya njaa nchini Zimbabwe kutokana na kile kinachotajwa kuwa sera ya kibaguzi ya ardhi.
-
Mahakama ya Katiba ya Zimbabwe yapinga mashtaka dhidi ya Mugabe
Feb 08, 2017 11:21Mahakama ya Katiba ya Zimbabwe imekataa mashtaka yaliyowasishwa na mwanaharakati Promise Mkwananzi dhidi ya kiongozi mkongwe wa nchi hiyo, Robert Mugabe kwamba alikiuka katiba wakati wa maandamano ya mwaka jana ya wananchi dhidi ya utawala wake na chama tawala cha ZANU-PF.
-
Pigo la kwanza kwa Joice Mujuru katika uchaguzi mdogo wa bunge nchini Zimbabwe
Jan 23, 2017 23:25Katika hali ambayo, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amesisitiza kuwa, atasimama kuwania tena kiti cha urais katika uchaguzi wa hapo mwakani, vyama vya siasa vya upinzani vya nchi hiyo vinajiandaa kwa ajili ya kukabiliana naye.
-
Kuchaguliwa tena Mugabe kugombea urais katika uchaguzi wa 2018 nchini Zimbabwe
Dec 18, 2016 10:37Rais Robert Mugabe wa Zimbambwe amechaguliwa tena kubeba bendera ya chama tawala cha Zanu-PF katika uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika mwaka 2018.
-
Mugabe achaguliwa kubeba bendera ya chama cha ZANU-PF uchaguzi ujao wa rais
Dec 18, 2016 01:08Rais Robert Mugabe wa Zimbambwe amechaguliwa tena kubeba bendera ya chama tawala cha Zanu-PF katika uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika mwaka 2018.
-
MDC: Tsvangirai atawania urais 2018 licha ya hali yake ya afya
Dec 02, 2016 03:42Chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe MDC kimesema kiko imara licha ya kuugua kiongozi wake Morgan Tsvangirai.
-
Mke wa Mugabe asema yeye ndiye rais wa Zimbambwe
Nov 22, 2016 04:27Mke wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amesema yeye ndiye rais wa nchi hiyo kwa kuwa anatekeleza majukumu yote ya urais pamoja na mumewe.