-
Serikali ya Sudan yalituhumu kundi la RSF kwa kulenga msafara wa misaada Darfur
Jun 03, 2025 23:22Serikali ya Sudan imetangaza kwamba "Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vililenga msafara wa misaada wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Al-Koma katika jimbo la Darfur Kaskazini."
-
Niger yazituhumu nchi za Magharibi kwa njama za kuvuruga utawala wake
Jun 03, 2025 23:16Rais wa mpito wa Niger, Jenerali Abdourahamane Tchiani, amezituhumu nchi za Magharibi, hasa Ufaransa, kwa kuchochea machafuko ya kigaidi nchini humo kama njia ya kujaribu kulazimisha “mfumo mpya wa utawala” kinyume na matakwa ya raia wa Niger.
-
HRW: Waasi wa M23 waliwaua raia mashariki mwa DRC mwezi Februari
Jun 03, 2025 23:02Shirika moja kimataifa la kutetea haki za binadamu, limeripoti kuwa waasi wa M23 waliwaua kwa makusudi raia wasiopungua 21 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) mwezi Februari mwaka huu.
-
Wananchi wa Burundi kuwachagua wawakilishi wao wa Bunge Alkhamisi hii
Jun 03, 2025 08:12Wakati huu wakikabiliwa na hali mbaya ya kiuchumi, raia wa Burundi ingawa wamechoka lakini wanajiandaa kushiriki uchaguzi mkuu wa wabunge wa Juni 5 ambao umepoteza mvuto kwa kukosekana kwa washindani wa kweli.
-
Jeshi la Nigeria laua magaidi 20 kaskazini mwa nchi
Jun 03, 2025 03:33Takriban magaidi 20 wameuawa katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la Nigeria katika jimbo la kaskazini la Zamfara mwishoni mwa juma.
-
Magaidi waua makumi ya askari wa Mali Timbuktu, Boulkessi
Jun 02, 2025 23:48Kundi la kigaidi lenye mafungamano na mtandao wa Al Qaeda katika eneo la Sahel, Magharibi mwa Afrika limedai kufanya mashambulizi kadhaa nchini Mali na kuua makumi ya wanajeshi.
-
Je, waziri mkuu mpya anaweza kuiokoa Sudan kutokana na mzozo mkubwa wa kisiasa na kiuchumi?
Jun 02, 2025 22:42Kamil Eltayeb Idris ameapishwa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Sudan mbele ya Abdel Fattah Al-Burhan, Mwenyekiti wa Baraza la Utawala na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Sudan.
-
Tanzania: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani chini ya ulinzi mkali
Jun 02, 2025 09:20Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu imesikilizwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu huku upande wa serikali ukiendelea kuleta hoja kuwa bado upelelezi haujakamilika.
-
Wasomi Nigeria: Falsafa ya Imam Khomeini ni kuwa, uongozi unatokana na watu
Jun 02, 2025 03:15Wasomi nchini Nigeria wamesisitiza kuwa, alama kuu ya kumbukumbu na urithi wa Muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomein (MA) ni msimamo wake kuwa mamlaka na nguvu za uongozi zipo mikononi mwa wananchi.
-
Waziri Mkuu mpya wa Sudan avunja serikali ya mpito
Jun 02, 2025 03:12Waziri Mkuu mpya wa Sudan, Kamil Idris amevunja serikali ya mpito ya nchi hiyo ya Kiarabu ya kaskazini mwa Afrika.