-
WHO yasema hali ya Mpox nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ingali inatisha
Jan 14, 2025 23:13Shirika la Afya Duniani WHO limesema, ijapokuwa mwenendo wa sasa wa homa ya nyani au Mpox duniani inaonekana kutulia, lakini hali si shwari nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.
-
Benki Kuu: Mapato ya Libya mwaka 2024 yalifikia karibu dola bilioni 25
Jan 14, 2025 05:44Benki Kuu ya Libya ilitangaza jana Jumatatu kwamba mapato ya jumla ya nchi hiyo kwa mwaka 2024 yalifikia dinari za Libya bilioni 123.51 (takriban dola bilioni 24.95 za Kimarekani).
-
Benki ya Dunia yatoa dola milioni 82 za kufadhili mfumo wa afya wa Sudan
Jan 14, 2025 05:22Shirika la Afya Duniani (WHO) na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) yamesema kuwa, yamepokea msaada wa dola milioni 82 kutoka Benki ya Dunia kwa ili kuboresha huduma za afya kwa ajili ya zaidi ya watu milioni 8 nchini Sudan.
-
Bunge jipya lafunguliwa Msumbiji katika kivuli cha migomo na maandamano
Jan 13, 2025 23:48Bunge jipya la Msumbiji liliapishwa jioni ya jana Jumatatu mjini Maputo chini ya ulinzi mkali, huku migomo na maandamano yanayoongozwa na upinzani yakiligeuza jiji hilo kuwa mji wa mapepo.
-
Maelfu ya Wasudan wamekimbia mapigano huko Um Rawaba
Jan 13, 2025 23:41Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, maelfu ya watu wameukimbia mji wa Um Rawaba nchini Sudan tangu kuzuka kwa mapigano wiki iliyopita kati ya jeshi la nchi hiyo na wanamgambo wa RSF.
-
Wapinzani Chad wapinga matokeo ya awali ya uchaguzi wa Bunge
Jan 13, 2025 23:39Chama cha upinzani cha Chad National Rally of Chadian Democrats (RNDT) kimekosoa Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo, baada ya matokeo ya awali ya uchaguzi wa ubunge kuonyesha kuwa chama tawala cha MPS kilishinda theluthi mbili ya viti.
-
Jeshi la Kongo latwaa maeneo muhimu kutoka kwa waasi wa M23
Jan 13, 2025 08:09Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza kuwa limefanikiwa pakubwa kijeshi dhidi ya kundi la waasi la M23 licha ya kushuhudiwa ongezeko la ghasia katika maeneo ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kiongozi wa Sudan: Mataifa ya kikoloni yanachochea migogoro Afrika
Jan 13, 2025 07:19Kiongozi wa Sudan Jenerali Abdel Fattah al Burhan amesema kuwa mataifa ya kikoloni yanachochea migogoro mbalimbali barani Afrika.
-
Chama tawala Chad chakomba thuluthi mbili ya viti Bungeni
Jan 13, 2025 03:12Matokeo ya awali ya uchaguzi wa mwezi Disemba 2024, yanaonesha kuwa, chama tawala nchini Chad kimekomba thuluthi mbili ya viti katika uchaguzi wa Bunge ambao ulisusiwa na sehemu kubwa ya vyama vya upinzani.
-
Angola yaripoti kesi 224 za kipindupindu, watu 18 wathibitishwa kufa kwa ugonjwa huo
Jan 13, 2025 03:11Angola imesajili kesi 224 za ugonjwa hatari wa kipindupindu na idadi hiyo ilikuwa ni ile iliyokuwa imeripotiwa kufikia saa kumi na mbili jioni jana Jumapili.