-
Niger yazindua kampeni ya chanjo dhidi ya Malaria
Sep 21, 2024 23:28Niger imekuwa nchi ya hivi karibuni katika kanda ya Afrika Magharibi kuzindua mpango wa chanjo ya Malaria ili kujaribu kuzuia ugonjwa huo hatari.
-
Mahakama ya Kenya yataka Meta ifunguliwe mashtaka
Sep 21, 2024 08:43Mahakama nchini Kenya imetangaza kuwa, kampuni kubwa ya mtandao wa kijamii ya Marekani, Meta, inaweza kufunguliwa mashtaka kuhusu mazingira duni ya kazi na kuachishwa kazi kwa wafanyakazi wake.
-
Mtoto wa Museveni: Sina nia ya kugombea kiti cha urais 2026
Sep 21, 2024 08:41Mtoto wa kiume wa Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda ametangaza leo kuwa, hana nia ya kugombea kiti cha urais na badala yake atamuunga mkono baba yake.
-
Somalia yaishutumu Ethiopia kuwa inatuma silaha katika jimbo la Puntland
Sep 21, 2024 04:16Somalia ilishutumu Ethiopia siku ya Ijumaa kuwa inatuma silaha ambazo hazijaidhinishwa katika jimbo lake lenye mamlaka ya ndani la Puntland.
-
UNHCR: Wakimbizi Afrika Magharibi, Kati wafikia milioni 14
Sep 21, 2024 01:00Shirika la Kuhuduumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, idadi ya wakimbizi na watu waliolazimishwa kuyahama makaazi yao katika eneo la Afrika Magharibi na Kati imeongezeka maradufu tangu mwaka 2019.
-
Rwanda yaanza zoezi la kutoa chanjo ya Mpox
Sep 20, 2024 09:10Wizara ya Afya ya Rwanda imetangaza kuwa, imeanza zoezi la kutoa chanjo dhidi ya ugonjwa wa homa ya Mpox.
-
Waliofariki kutokana na mafuriko Nigeria wafika 285, wengine zaidi ya laki sita wabaki bila makazi
Sep 20, 2024 03:21Mafuriko yanayoendelea nchini Nigeria yamesababisha vifo vya watu 285. Hayo yameelezwa na Shirika la Taifa la Kudhibiti Matukio ya Dharura (NEMA).
-
Ramaphosa: Afrika ipewe kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama la UN
Sep 19, 2024 23:02Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesisitiza kuwa Afrika inapasa kupewa uwakilishi wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC).
-
Rais wa Comoro aonekana kwa mara ya kwanza tangu ashambuliwe kwa kisu
Sep 19, 2024 09:56Rais wa Kisiwa cha Comoro Azali Assoumani ameonekanahadharani kwa mara ya kwanza tangu aliposhambuliwa kwa kisu wiki iliyopita na kujeruhiwa.
-
Majenerali hasimu Sudan wasema wako tayari kutafuta suluhu ya vita
Sep 19, 2024 08:59Pande hasimu nchini Sudan ambazo zimeitumbukiza nchi hiyo katika vita zimetangaza kuwa ziko tayari kwa ajili ya kuhitimisha vita hivyo.