-
Watu 79,000 wakimbia makazi yao, wilaya 34 zaathiriwa na mafuriko kusini mwa Ethiopia
Aug 20, 2024 23:27Takriban watu 79,000 wameyakimbia makazi yao kusini mwa Ethiopia baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha kufurika Mto Omo katika wilaya 34 za nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Amnesty: Rais wa Burundi anakanyaga haki za binadamu
Aug 20, 2024 23:27Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema katika ripoti yake mpya kwamba, Burundi imeshuhudia vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu katika kipindi cha miaka minne ya utawala wa Rais wa nchi hiyo, Evariste Ndayishimiye.
-
DRC kupokea chanjo ya Mpox wiki ijayo
Aug 20, 2024 08:51Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ina matumaini ya kupokea dozi ya kwanza ya chanjo ya Mpox wiki ijayo.
-
Mshukiwa wa mauaji ya makumi ya wanawake Kenya atoroka gerezani
Aug 20, 2024 08:31Raia wa Kenya aliyekiri kuhusika na mauaji ya wanawake 42 ambao baadhi yao miili yao ilipatikana imetupwa katika eneo la kutupa taka jijini Nairobi, ametoroka gerezani.
-
Ajali za basi zaua watu 21 Kenya na Uganda
Aug 20, 2024 03:34Watu wasiopungua 21 wamepoteza maisha na makumi ya wengine kujeruhiwa katika ajali za mabasi huko Uganda na Kenya.
-
Sudan na Russia kutumia sarafu za ndani katika shughuli za kibiashara
Aug 20, 2024 03:30Ujumbe kutoka Benki Kuu ya Russia umetembelea Sudan ili kujadiliana na Gavana wa Benki Kuu ya nchi hiyo, Borai al-Siddiq, kuhusu matumizi ya sarafu za nchi hizo mbili katika miamala ya kibiashara ili kupunguza utegemezi wa sarafu za kigeni hasa dola ya Marekani.
-
Somalia yamkosoa vikali Balozi wa Uingereza kwa kuibua mifarakano
Aug 20, 2024 03:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Somalia Ahmed Moalim Fiqi amemkosoa vikali Balozi wa Uingereza nchini Somalia, Mike Nithavrianakis, kwa matamshi aliyoyataja kuwa "mashambulizi ya wazi dhidi ya mamlaka na umoja wa Somalia."
-
Mawaziri wa Afya wa SADC kukutana kujadili Mpox
Aug 19, 2024 22:43Mawaziri wa Afya wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wanatarajiwa kukutana hivi karibuni kwa ajili ya kujadili virusi vya homa ya MPOX ambavyo vinaenea kwa kasi sasa katika maeneo tofauti ya dunia.
-
TEC: Kutowasikiliza wamasai wa Ngorongoro Tanzania ni kuwanyima haki zao
Aug 19, 2024 22:42Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC) limesema kutowasikiliza Wamaasai wanaioshi katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro ni kuwanyima haki zao.
-
Wapinzani Malawi wampitisha tena Mutharika kuwania kiti cha urais
Aug 19, 2024 22:42Chama kikuu cha upinzani nchini Malawi cha Democratic Progress kimempasisha rais wa zamani Peter Mutharika kuwa mgombea wake katika uchaguzi wa rais hapo mwakani.