-
Watu 30 wauawa katika shambulio la wanamgambo nchini Nigeria
Aug 10, 2024 09:24Kwa akali watu 30 wameuawa katika jimbo la Benue nchini Nigeria baada ya kundi la wanamgambo kufanya mashambulio dhidi ya kijiji cha Ayati.
-
Ujangili wa Magharibi umepunguza mno idadi ya simba barani Afrika
Aug 10, 2024 07:44Huku ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Simba Duniani leo Agosti 10, imebainika kuwa idadi ya mnyamapori huyo inapungua kwa kiwango cha kutisha barani Afrika kutokana na ujangili unaofanywa na nchi za Magharibi.
-
Jumuiya za kutetea haki za binadamu zataka sakata la kubakwa "binti" huko Tanzania lishughulikiwe ipasavyo
Aug 10, 2024 03:59Mashirika mbalimbali ya kutetea haki za binadamu yameendelea kupaza sauti yakitaka hatua za haraka zichukuliwe kuwashughulikia ipasavyo waliohusika na kitendo kiovu cha kumbaka na kumlawili binti mmoja wakidai kuwa wametumwa na "afande" kufanya ukatili huo.
-
Mapigano mapya yaibuka kati ya makundi hasimu mashariki mwa Tripoli, Libya
Aug 10, 2024 03:55Watu tisa wameuawa katika mapigano yaliyotokea jana Ijumaa kati ya makundi hasimu katika kitongoji cha Tajoura, mashariki mwa mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
Serikali ya Mali yamfukuza balozi wa Sweden nchini humo
Aug 10, 2024 02:56Mali imemwamuru balozi wa Sweden kuondoka nchini humo ndani ya saa 72 kutokana na kauli ya "uhasama" ya waziri wa Uswidi.
-
Maandamano ya kulaani jinai za Israel yaendelea kufanyika nchini Morocco
Aug 09, 2024 23:02Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kuwaunga mkono wananchi wa Palestina na kulaani jinai zinazoendelea kufanywa na jeshi la Israel huko Gaza.
-
Botswana yatangaza mapumziko kusherehekea medali ya dhahabu katika michezo
Aug 09, 2024 23:01Rais Mokgweetsi Masisi wa Botswana jana alitangaza Ijumaa alasiri kuwa sikukuu ya kusherehekea ushindi wa Letsile Tebogo, ambaye siku ya Alhamisi aliandika historia ya kutwaa medali ya kwanza ya dhahabu kwa nchi hiyo katikak mbio hizo.
-
Shambulio la RSF laua raia wasiopungua 15 na kujeruhi makumi El Fasher, Sudan
Aug 09, 2024 06:12Watu wasiopungua 15 wameuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika shambulio la risasi za mizinga lililofanywa na wanamgambo wa Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF) huko El Fasher, mji mkuu wa Jimbo la Darfur Kaskazini magharibi mwa Sudan. Hayo yameelezwa na kundi la watetezi wa demokrasia katika mji huo.
-
WHO: Vita vimefanya tuluthi 2 ya Wasudan washindwe kutafuta matibabu
Aug 09, 2024 03:48Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema thuluthi mbili ya wananchi wote wa Sudan hawawezi kutafuta huduma za matibabu kutokana na mgogoro na vita vinavyoendelea kushuhudiwa nchini humo.
-
Watu 26 wahukumiwa kifo Kongo DR kwa 'jinai za kivita'
Aug 08, 2024 23:57Watu wasiopungua 26 wamehukumiwa kifo na mahakama ya kijeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, baada ya kupatikana na hatia katika mashitaka matatu yaliyokuwa yakiwakabili.