-
Hatimaye wanajeshi wa mwisho wa Marekani waondoka Niger
Aug 06, 2024 22:58Hatimaye wanajeshi wa mwisho wa Marekani wameondoka nchini Niger, zaidi ya mwaka mmoja baada ya viongozi wa mapinduzi kuwataka kuondoka.
-
HRW: Wanajeshi wa Chad walihusika na vifo vya wafungwa wa maandamano ya 2022
Aug 06, 2024 08:08Ripoti iliyotolewa leo Jumanne na shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) imesema jeshi la Chad lilihusika na vifo vya wafungwa kadhaa waliokamatwa kufuatia maandamano ya Oktoba 2022.
-
Wanaigeria warejea mitaani licha ya ombi la Rais
Aug 06, 2024 04:32Wananchi katika mji wa Lagos, Nigeria jana walimiminika mitaani kuendelea na maandamano yao ya kupinga hali mbaya ya uchumi licha ya ombi la Rais wa nchi hiyo Bola Tinubu la kusitishwa maandamano.
-
FAO: Hatua za haraka zichukuliwe kukabiliana na njaa katika baadhi ya maeneo ya Darfur
Aug 05, 2024 23:26Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka baada ya tatizo la njaa kuyaathiri baadhi ya maeneo ya Darfur. Shirika la FAO limeeleza haya katika ripoti yake ya karibuni kuhusu tathmini ya usalama wa chakula.
-
Takriban wahamiaji 100 wa Ethiopia waokolewa na polisi nchini Afrika Kusini
Aug 05, 2024 10:15Polisi ya Afrika Kusini imeeleza kuwa imewaokoa wahamiaji 90 wa Kiethiopia waliokuwa wakishiliwa kwenye nyumba moja kinyume na ridhaa yao katika mji wa Johannesburg.
-
Mali yakata uhusiano wa kidiplomasia na Ukraine baada ya shambulio la kigaidi
Aug 05, 2024 09:09Mali imetangaza kuwa inakata uhusiano wa kidiplomasia na Ukraine baada ya Kiev kukiri kuhusika katika shambulio la kigaidi la hivi karibuni katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Kituo cha mwisho cha jeshi la Marekani nchini Niger chafungwa
Aug 05, 2024 06:51Kambi ya mwisho ya kijeshi ya Marekani nchini Niger imekabidhiwa rasmi leo kwa nchi hiyo ya Afrika.
-
Jeshi la Sudan lazima shambulio la wanamgambo wa RSF
Aug 05, 2024 01:23Jeshi la Sudan limeripoti kwamba limefanikiwa kuzima shambulio la wanamgambo wa RSF dhidi ya Jimbo la Blue Nile kusini mashariki mwa Sudan. Jeshi limesema vikosi vyake vimezuia shambulio hilo katika eneo la Guli.
-
Msomi wa Kenya: Marekani haina ustahiki wa kuiamrisha Kenya kuhusu maadili bora
Aug 05, 2024 01:09Ubalozi wa Marekani Alhamisi ulitoa wito kwa wabunge wa Kenya kuwakataa mawaziri waliopendekezwa na rais William Ruto ambao inadaiwa wana kasha za ufisadi.
-
Rais wa Nigeria atoa mwito wa kukomeshwa maandamano
Aug 04, 2024 09:02Rais wa Nigeria Bola Ahmed Tinubu ametoa wito wa kusitishwa kwa maandamano ya nchi nzima na kukomesha "umwagaji damu" baada ya vikosi vya usalama kukabiliana na maandamano ya kupinga hali ngumu ya kiuchumi.