-
Makundi ya kisiasa Sudan yakataa kutia saini taarifa ya mwisho ya mkutano wa Cairo
Jul 08, 2024 03:37Mkutano wa makundi ya kisiasa na kiraia ya Sudan ulimalizika jana mjini Cairo, Misri ambapo vyama vya Sudan vilijadili njia za kutatua mgogoro wa ndani wa nchi hiyo, huku baadhi ya makundi yakikataa kutia saini taarifa ya mwisho ya mkutano wa Cairo.
-
Siku ya Kiswahili Duniani: Tuthamini lugha yetu ya Kiswahili
Jul 08, 2024 00:40Maadhimisho ya siku ya Kiswahili Duniani yamefanyika katika mataifa mbalimbali huku kukitolewa miito ya kuithamini lugha hii ambayo sasa inatambuliwa na Umoja wa Mataifa.
-
Tangazo la kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini Niger
Jul 08, 2024 00:11Baada ya kupita miezi minne, hatimaye serikali ya Marekani imetangaza kwamba karibuni hivi itaondoa vikosi vyake vyote vya kijeshi katika ardhi ya Niger.
-
Misri yaandaa mkutano wa kushughulikia mzozo wa Sudan
Jul 08, 2024 00:11Wajumbe wa vyama mbalimbali vya siasa vya Sudan na makundi ya kiraia wamekutana Cairo mji mkuu wa Misri kutafuta suluhu ya kisiasa ya mgogoro wa Sudan.
-
UN: Watu milioni 4.5 wamekimbia makazi yao Ethiopia
Jul 08, 2024 00:10Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (UNOCHA) imetangaza kuwa, takriban watu milioni 4.5 wamekimbia makazi yao katika maeneo ya vijijini na mijini nchini Ethiopia.
-
Pendekezo jipya la mfuko wa uwezeshaji laleta matumaini kwa wanawake wajane Afrika
Jul 08, 2024 00:10Wanawake wajane kote barani Afrika wamepata matumaini mapya baada ya kutolewa pendekezo la kudhaminiwa fedha za kuwawezesha kimaisha. Mpango huo umependekezwa na mke wa Naibu Rais wa Kenya, Bi Dorcas Rigathi, wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa Wajane wa Afrika uliofanyika Zanzibar.
-
ECOWAS: Muungano wa Sahel ni changamoto kubwa
Jul 07, 2024 07:39Mkutano wa kilele wa viongozi wa Afrika Magharibi umefunguliwa leo Jumapili huku kukiwa na mizozo ya kisiasa, baada ya tawala za kijeshi katika nchi za Niger, Mali na Burkina Faso kuunda shirikisho baina yao.
-
Niger, Mali na Burkina Faso zasaini mkataba wa kuidhinisha kujitoa ndani ya ECOWAS
Jul 07, 2024 04:04Tawala za kijeshi za Niger, Mali na Burkina Faso jana zilisaini mkataba unaoidhinisha shirikisho zilizounda kati yao na kujitoa katika jumuiya ya ECOWAS.
-
Tunisia yatangaza tarehe ya uchaguzi wa rais
Jul 06, 2024 07:50Tume ya Uchaguzi nchini Tunisia imetangaza Oktoba 6 mwaka huu kuwa tarehe ya kufanyika uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.
-
Mataifa yanayounda Muungano wa Sahel yanakutana leo Niamey, Niger
Jul 06, 2024 03:19Viongozi wa Muungano wa Sahel wanakutana leo katika mji mkuu wa Niger, Niamey kwa ajili ya kujadilii masuala mbalimbali.