-
Iran yamtia mbaroni mhusika mkuu wa shambulio la kigaidi la Kerman
Jul 13, 2024 23:28Vikosi vya usalama wa taifa vya Iran vimefanikiwa kumtia mbaroni mmoja wa wahusika wakuu wa miripuko miwili ya kigaidi iliyotokea mwezi Januari mwaka huu katika mji wa Kerman wa kusini mashariki mwa Iran.
-
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran: Sarafu ya dola tumeiondoa katika miamala ya Iran na Russia
Jul 13, 2024 08:34Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa miamala yote ya kibiashara kati ya Iran na Russia itafanyika bila ya kutumika sarafu ya dola.
-
Rais mteule wa Iran: Serikali yangu itaupa kipaumbele uhusiano na majirani
Jul 12, 2024 23:16Rais mteule wa Irani, Masoud Pezeshkian, amesema serikali yake italipa kipaumbele suala la kuimarisha uhusiano na majirani.
-
Waandamanaji Kenya: Kuvunjwa baraza la mawaziri hakutoshi, tunataka Rais Ruto ajiuzulu
Jul 12, 2024 23:15Vijana wanaoandamana nchini Kenya wamesema kuwa, hawajaridhishwa na hatua ya Rais William Ruto ya kuvunja baraza la mawaziri kwani wanachotaka ni kiongozi huyu kujiuzulu.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Wairani wamezima njama za maadui kwa kushiriki kwa wingi kwenye uchaguzi wa rais
Jul 12, 2024 08:01Imamu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: "Watu wa Iran wamezima njama za maadui kwa kushiriki kwa wingi kwenye upigaji kura katika uchaguzi wa rais Ijumaa wiki iliyopita."
-
Wasiwasi wa Washington juu ya ushawishi wa Iran kati ya watetezi wa Palestina huko Marekani
Jul 12, 2024 07:11Harakati ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Marekani iliyotikisa maeneo yote ya hiyo na kusababisha mamia ya maandamano, mikusanyiko na migomo katika vyuo vikuu kulalamikia jinai na uhalifu wa Israel hususan mauaji ya kimbari ya watu wa Gaza imekabiliwa na hasira kali ya serikali ya Washington.
-
Kamanda wa Kikosi cha Quds cha SEPAH aonana na makamanda wa muqawama
Jul 12, 2024 03:41Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH ametembelea maeneo tofauti ya operesheni za kambi ya muqawama za kupambana na Wazayuni na kuonana ana kwa ana na maafisa na makamanda wa muqawama kwenye maeneo hayo.
-
Qalibaf: Siasa za kambi moja za Magharibi zimefeli
Jul 11, 2024 23:41Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amekutana na Rais wa Russia pambizoni mwa kikao cha BRICS na kusema kuwa: Bila ya shaka yoyote siasa za kambi moja za Magharibi zimefeli na zitaendelea kufeli.
-
Mahakama Iran: Sharti US iwape fidia wagonjwa wa kipepeo kutokana na vikwazo
Jul 11, 2024 23:34Mahakama moja nchini Iran imeiagiza Marekani kulipa takriban dola bilioni 7 kama fidia kwa waathiriwa wa ugonjwa wa ngozi wa Epidermolysis Bullosa (EB) nchini Iran.
-
Kan’ani: Madai ya NATO ya Iran kuisaidia Russia katika vita vya Ukraine hayana msingi wowote
Jul 11, 2024 09:54Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, madai ya Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO kwamba, Iran inaisadia kijeshi Russia katika vita vya Ukraine hayana msingi wowote.