-
Jibu la Iran kwa matamshi na ripoti za Mkurugenzi Mkuu wa IAEA
Jun 08, 2021 21:56Ripoti ya hivi karibuni ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuhusu Iran inatokana na muelekeo wa upande mmoja wa wakala huo ambao unapuza ushirikiano wa kiufundi na muelekeo kama huo unaweza kuwa kizingiti katika ushirikiano wa pande mbili katika siku za usoni.
-
Zarif amjibu Blinken: Nenda usome kipengee cha 36 cha mkubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Jun 08, 2021 11:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu madai ya waziri mwenzake wa mambo ya Nje wa Marekani aliyedai kuwa, haijulikani kwamba Iran ina hamu au iko tayari kurejea kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA. Muhammad Javad Zarif amemwambia Blanken kwamba: Inakutosha usome kipengee cha 36 cha JCPOA.
-
Mdahalo wa Pili wa Urais nchini Iran unafanyika leo
Jun 08, 2021 03:39Mdahalo wa pili wa wagombea wa urais nchini Iran unafanyika alasiri ya leo mwendo wa saa kumi na moja kwa saa za hapa nchini, kupitia televisheni na radio za taifa.
-
Iran yaonya dhidi ya misimamo hasi ya wakala wa IAEA
Jun 07, 2021 23:09Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika asasi za kimataifa zenye makao yao mjini Vienna Austria ametahadharisha kuhusu misimamo hasi na ya uhasama ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) dhidi ya Tehran.
-
Wiki ya Imam Khomeini yaadhimishwa nchini Nigeria
Jun 07, 2021 22:22Wanafunzi Waislamu wa Vyuo Vikuu na taasisi za elimu ya juu za Nigeria wameandaa Wiki ya Imam Ruhullah Khomeini, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika jimbo la Bauchi, kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu yanayopaswa na yasiyopaswa katika uchaguzi
Jun 07, 2021 21:58Ayatullah Sayyid Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika sehemu ya hotuba yake kwa njia ya televisheni siku ya Ijumaa kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuaga dunia Imam Khomeini MA aliashiria kadhia ya uchaguzi wa rais nchini Iran na ulazima wa kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi huo na pia udharura wa wagombea kuwabainishia wananchi masuala muhimu.
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi la nchini Burkina Faso
Jun 06, 2021 21:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulizi ya kigaidi lililofanywa na magenge yenye silaha nchini Burkina Faso.
-
Kiongozi Muadhamu atoa onyo kali kuhusu midahalo ya wagombea urais Iran
Jun 06, 2021 08:41Ukurasa wa Twitter wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kislamu umetuma ujumbe wa indhari kuhusu kuwavunjia wengine heshima katika midahalo ya wagombea wa urais wa Iran huku akitoa onyo kali kuhusu sualaa hilo.
-
Mdahalo wa kwanza baina wa wagombea urais nchini Iran, kampeni za uchaguzi na maratajio ya wananchi
Jun 06, 2021 05:01Mdahalo wa kwanza baina ya wagombea urais nchini Iran ulifanyika jana alasiri kupitia televisheni ya taifa na kuendelea kwa mud awa masaa matatu.
-
Mgombea urais Iran: Sitounda serikali ila ambayo nina uhakika itafanya kazi
Jun 05, 2021 07:31Mmoja wa wagombea katika uchaguzi wa 13 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatounda serikali ila ya watu ambao kweli watawatumikia wananchi na watawatekelezea matakwa yao kwa ukweli na udhati wa moyo.