-
Kuuawa Haniyeh; damu katika mishipa ya muqawama
Aug 08, 2024 12:47Utawala wa Kizayuni wa Israel umeonyesha kilele cha kukataa tamaa na kukwama baada ya miezi kumi ya mauaji ya kimbari ya Wapalestina huko Gaza kwa kumuuwa kigaidi Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).
-
NATO ni wenzo wa uhalifu wa Wamagharibi/angalia tweets za watumiaji wa X
Aug 06, 2024 11:13Pars Today- Uhalifu wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) haufichiki kwa mtu yeyote. Ni kwa sababu hiyo ndio maana Alfred Dozias, mtaalamu wa zamani wa Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa, analichukulia shirika hilo kuwa ni tishio kubwa zaidi kwa usalama wa binadamu duniani.
-
Kuongezeka wimbi la watu wanaosilimu baada ya mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza
Aug 01, 2024 09:10Kasi ya watu wanaosilimu barani Ulaya imeongezeka kwa asilimia 400 tangu kuanza mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza mwezi Oktoba mwaka jana.
-
Podikasti ya Ujana Ulioharibiwa- Sehemu ya 8
Jul 18, 2024 09:09Sehemu hii ya nane ya Podikasti ya Ujana Ulioharibiwa (Stolen Youth) inaangazia vitendo vya mabavu na ubaguzi wa jeshi la Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Mauaji na uharibifu; matokeo ya Libya kuamini na kulegeza msimamo mbele ya nchi za Magharibi/ tweet za watumiaji wa X
Jul 17, 2024 12:18Libya imekumbwa na ghasia na machafuko ya kisiasa tangu mapinduzi ya mwaka 2011 ya watu wa nchi hiyo, ambayo yalipelekea kupinduliwa serikali ya Muammar Gaddafi, kwa uingiliaji kati wa Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya.
-
Shauku ya uchaguzi nchini Iran/ Tweeti za watumiaji mitandao wa Iran kuhusu uchaguzi wa rais
Jul 17, 2024 11:46Pars Today- Wakati huo huo siku ya uchaguzi wa rais nchini Iran inakaribia, watumiaji wa Iran wa mtandao wa kijamii wa X, kama watu wengine wa Iran, wanafuatilia uchaguzi huu kwa msisimuko na shauku maalum.
-
Kuomba radhi kwa kuchelewa Kanisa Katoliki
Jul 06, 2024 13:04Makala yetu ya juma hili imeangazia kuomba radhi Kanisa Katoliki kutokana na jinai zilizofanywa dhidi ya wakazi asilia wa Marekani.
-
Simulizi za wasanii kuhusu matumizi ya silaha za kemikali katika vita vya Iraq na Iran
Jun 29, 2024 07:23Makala yetu ya wiki inahusu simulizi za wasanii kuhusu matumizi ya silaha za kemikali katika vita vya Iraq na Iran. Kipindi hiki tumewaandalia kwa mnasaba wa kuwadia tarehe 8 mwezi Tir kwa kalenda ya mwaka wa Hijria Shamsia inayosadifiana na tarehe 28 Juni ambayo inaadhimishwa hapa nchini kama Siku ya Kupambana na Silaha za Kemikali na Vijidudu.
-
Uchaguzi wa 14 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Jun 28, 2024 07:54Leo Ijumaa tarehe 28 Juni 2024, wananchi wa Iran wamejitokeza kwa mamilioni katika uchaguzi wa 14 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ulioitishwa kabla ya wakati wakati kufuatia kufa shahidi Rais Ebrahim Raisi kwenye ajali ya helikopta.
-
Mashujaa hawafi / kuangazia mshikamano wa watumiaji wa X na watu wa Iran baada ya kufa shahidi Raisi na Amir-Abdollahian
Jun 26, 2024 09:47Parstoday - Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa - X walionyesha mshikamano wao na wananchi wa Iran katika radiamali yao ya kufa shahidi Rais Sayyid Ebrahim Raisi na Hussein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.