uncategorised
  • Mashujaa hawafi / kuangazia mshikamano wa watumiaji wa X na watu wa Iran baada ya kufa shahidi Raisi na Amir-Abdollahian

    Mashujaa hawafi / kuangazia mshikamano wa watumiaji wa X na watu wa Iran baada ya kufa shahidi Raisi na Amir-Abdollahian

    Jun 26, 2024 06:17

    Parstoday - Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa - X walionyesha mshikamano wao na wananchi wa Iran katika radiamali yao ya kufa shahidi Rais Sayyid Ebrahim Raisi na Hussein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Mwandishi habari wa Kiingereza awahutubu watu wa Magharibi: Mlichoambiwa kuhusu kuchukiwa Raisi ni uongo mtupu

    Mwandishi habari wa Kiingereza awahutubu watu wa Magharibi: Mlichoambiwa kuhusu kuchukiwa Raisi ni uongo mtupu

    Jun 18, 2024 08:20

    Pars Today- Richard Medhurst, mwandishi wa Kiingereza na mwandishi wa habari sambamba na kuashiria mahudhurio ya mamilioni ya watu wa Iran katika shughuli ya kuuaga mwili wa shahidi "Sayyid Ebrahim Raisi" rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amekosoa uenezaji uwongo wa vyombo vya Magharibi dhidi ya hayati rais wa Iran.

  • Sema uongo na toa vitisho! Baadhi ya maoni ya watumiaji wa X kushambulia propaganda za Israel

    Sema uongo na toa vitisho! Baadhi ya maoni ya watumiaji wa X kushambulia propaganda za Israel

    Jun 17, 2024 11:27

    Parstoday: Mtumiaji mmoja wa mtandao wa kijamii wa X amesema kuwa Israel na Wazayuni wanapenda sana kutumia mbinu hii ya propaganda kila pale wanapobanwa na jinai zao za kuua raia wa kawaida huko Palestina. Wakibanwa sana utawasikia wanasema, tutafanya uchunguzi. Lakini wakati mashinikizo yanapopungua, vyombo vyao vya habari na wanasiasa wao hujielekeza kwenye jinai nyingine na hakuna uchunguzi wowote unaofanyika.

  • Ujumbe wa Hija wa Kiongozi Muadhamu 1445 Hijria

    Ujumbe wa Hija wa Kiongozi Muadhamu 1445 Hijria

    Jun 15, 2024 07:48

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei, ametoa ujumbe kwa mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu wanaotekeleza ibada ya Hija ambapo ameutaja " Wito mzuri wa Ibrahim, ambao katika zama zote unawaita watu wote kwenye Al-Kaaba wakati wa msimu wa Hija, mwaka huu pia umevutia nyoyo za Waislamu kote duniani kwenye ngome ya Tauhidi na umoja.

  • Barua ya Kiongozi Muadhamu kwa wanachuo wa Marekani

    Barua ya Kiongozi Muadhamu kwa wanachuo wa Marekani

    Jun 01, 2024 06:54

    Ifuatayo ni barua ya Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, aliyowaandikia wanachuo wa vyuo vikuu vya Marekani kufuatia utetezi wao wa kijasiri kwa maslahi ya watu wa Palestina.

  • Historia ya Maisha ya Shahidi Sayyid Ebrahim Raisi

    Historia ya Maisha ya Shahidi Sayyid Ebrahim Raisi

    May 20, 2024 05:12

    Sayyid Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na viongozi kadhaa aliofuatana nao wamekufa shahidi katika ajali ya helikopta iliyotokea jana Jumapili katika eneo la Varzghan mkoani Azerbaijan Mashariki wakiwa katika kazi ya kuwahudumia na kuwatumikia wananchi.

  • Jumamosi, 11 Mei, 2024

    Jumamosi, 11 Mei, 2024

    May 11, 2024 00:39

    Leo ni Jumamosi tarehe Pili Mfunguo Pili Dhul-Qaadah 1445 Hijria mwafaka na tarehe 11 Mei 2024 Miladia.

  • Harakati ya kimataifa ya mwamko wa wanafunzi wa vyuo vikuu dhidi ya Wazayuni

    Harakati ya kimataifa ya mwamko wa wanafunzi wa vyuo vikuu dhidi ya Wazayuni

    May 08, 2024 04:45

    Harakati ya mwamko ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya Marekani dhidi ya utawala katili wa Israel iliyoanzia katika Chuo Kikuu cha Columbia mjini New York sasa imesambaa katika vyuo vikuu vya nchi nyingine duniani.

  • Oparesheni Ahadi ya Kweli katika Vyombo vya Habari

    Oparesheni Ahadi ya Kweli katika Vyombo vya Habari

    Apr 27, 2024 10:21

    Mashambulio ya ndege zisizo na rubani (droni) na makombora ya Iran dhidi ya utawala wa Kizayuni wiki iliyopita yaliakisiwa na vyombo vya habari vya nchi ajinabi tangu dakika za mwanzo baada ya kutekelezwa. Katika kipindi hiki, tunatupia jicho radiamali zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kuhusua mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel.