-
Lishe katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani (1)
Mar 22, 2024 06:55Assalamu Alaykum Warahmatullhi Wabarakatuh. Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika kipindi chetu ncha leo cha Makala ya Wiki ambacho kinazungumzia lishe katika mwezi wa Ramadhani.
-
Mauaji katika safu ya chakula
Mar 06, 2024 10:12Karibuni kuwa nasi katika kipindi chetu cha leo cha Makala ya Wiki. Kipindi hiki kinatupia jicho mauaji yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia wa Gaza waliokuwa katika safu za kupokea misaada ya kibinadamu huko Rafah.
-
Uchaguzi na umoja wa kitaifa nchini Iran
Mar 04, 2024 13:27Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio makala yetu ya wiki ambayo itaangazia uchaguzi na umoja wa kitaifa nchini Iran.
-
Imam Mahdi (atfs), Mwokozi Muahidiwa wa Ulimwengu
Feb 24, 2024 07:38Assalaam alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Mahdi (atfs).
-
Mashambulizi ya Israel dhidi ya Rafah
Feb 22, 2024 04:46Hamjambo na karibuni katika Kipindi chetu wiki hii ambacho kitaangazia mashambulizi ya utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Palestina huko Rafah, kusini kwa Ukanda wa Gaza. Kuweni nami hadi tamati.****
-
Simulizi ya Hamas kuhusu Kimbunga cha Al Aqsa
Feb 14, 2024 17:33Hamjambo na karibuni katika Kipindi chetu wiki hii ambacho kitaangazia simulizi za Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kuhusu kwa nini Oparesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa ilitekelezwa.
-
Mapinduzi ya Kiislamu, kuandaliwa mazingira ya kudhihiri Imam Mahdi (a.t.f.s)
Feb 11, 2024 04:28Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyotokea mwaka 1979 kwa uongozi wenye busara na hekima wa Imamu Ruhullah Khomeini (MA).
-
Mapinduzi ya Kiisamu; chimbuko la mageuzi ya kiroho na kimaanawi ya wananchi wa Iran
Feb 11, 2024 04:27Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi hivi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya Iran yaliyotokea 1979
-
Mapinduzi ya Kiislamu na Maendeleo ya Kiuchumi
Feb 10, 2024 08:55Kipindi chetu juma hili kinaangazia Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na maendeleo ya kiuchumi kwa mnasaba wa siku hizo za maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini.
-
Malengo ya kubaathiwa Mtume Muhammad SAW
Feb 08, 2024 05:52Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Leo hatutokuwa na kipindi cha BLW na badala yake tumekuandalieni makala maalumu ya kuzungumzia kubaathiwa na kupewa Utume Mtume Muhammad SAW. Hii ni siku muhimu sana katika ulimwengu mzima.