-
Wanajeshi wawili wa Israel watiwa mbaroni nchini Ubegliji kwa tuhuma za uhalifu wa kivita
Jul 22, 2025 01:02Wanajeshi wawili wa utawala wa kizayuni wa Israel wametiwa mbaroni na vyombo vya usalama nchini Ubelgiji kufuatia mashtaka yaliyowasilishwa na Taasisi ya Hind Rajab Foundation (HRF).
-
WHO yasikitishwa na mashambulizi ya Israel dhidi ya wahudumu wake Gaza
Jul 22, 2025 00:54Jeshi la Israel lilishambulia mara tatu makazi ya wafanyakazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) katika Ukanda Gaza, pamoja na ghala lake kuu jana Jumatatu , amesema mkuu wa shirika hilo la Umoja wa Mataifa.
-
Israel yaendeleza mashambulizi ya anga na mizinga Gaza, watoto wachanga wanakufa kwa njaa
Jul 21, 2025 10:03Mashambulio ya anga na ya mizinga ya utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza yanaendelea huku janga la njaa likizidi kushadidi siku baada ya siku na kuua Wapalestina wanaoishi katika eneo hilo.
-
Wanajeshi 5 wa Kizayuni wajiua ndani ya wiki 2 kutokana na msongo wa mawazo
Jul 21, 2025 03:51Kwa akali wanajeshi watano wa Israel wamejiua katika muda wa wiki mbili zilizopita, wakiwemo askari wa akiba walioadikishwa jeshini hivi majuzi, baada ya kuongezwa muda wa operesheni za Gaza na maeneo mengine yenye mizozo.
-
Ansarullah: Kuteswa, kuuawa kwa njaa watu wa Gaza ni ‘fedheha’ kwa ulimwengu wa Kiarabu, Kiislamu
Jul 21, 2025 03:31Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amelaani vikali nchi za Kiarabu na Kiislamu duniani kwa kushindwa kwao kutoa jibu mwafaka mkabala wa hatua ya utawala wa Israel ya kuwaua kwa makusudi Wapalestina katika Ukanda wa Gaza kwa kutumia njaa.
-
Njaa, utapiamlo vyaua Wapalestina 86 katika Ukanda wa Gaza
Jul 20, 2025 11:40Wizara ya Afya ya Gaza imesema athari hasi za mzingiro wa kibaguzi wa Israel dhidi ya ukanda huo zimesababisha makumi ya Wapalestina kuaga dunia.
-
UNRWA: Israel inawatesa raia kwa njaa Ghaza, wakiwemo watoto milioni moja
Jul 20, 2025 09:45Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) kwa mara nyingine tena limeushutumu utawala wa kizayuni wa Israel kwa kutumia njaa kama silaha ya vita dhidi ya raia Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Maandamano makubwa kupinga jinai za Israel huko Gaza yafanyika Sweden
Jul 20, 2025 04:28Wauungaji mkono wa Palestina wameandamana Stockholm, mji mkuu wa Sweden kupinga mashambulizi yanayoendelea kufanywa na jeshi la Israel dhidi ya shule na hospitali za Ukanda wa Gaza.
-
Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni akiri kutengwa Israel duniani
Jul 20, 2025 04:27Avigdor Lieberman waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni amekiri kuwa Israel na serikali inayoongozwa na Netanyahu zimetengwa kimataifa.
-
Hamas: Askari zaidi wa Israel watauawa iwapo mauaji ya kimbari yataendelea Gaza
Jul 19, 2025 10:06Msemaji wa Kijeshi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas, ameionya Israel kuwa itapoteza wanajeshi zaidi iwapo vita dhidi ya Gaza vitaendelea.