-
Chombo cha Kizayuni: Hamas bado inadhibiti Ukanda wa Gaza
Jan 20, 2025 07:48Chombo kimoja cha habari cha Kizayuni kimekiri kushindwa utawala huo katika vita dhidi ya Gaza na kutangaza kuwa, Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) bado inaudhibiti Ukanda wa Gaza.
-
Mamluki wa Jolani wapigana na vikosi vya Wakurdi, Syria
Jan 20, 2025 07:37Vyombo vya habari vya Syria vimeripoti kujiri mapigano kati ya mamluki wa utawala wa Jolani na wanamgambo wa Kikurdi, QSD, katika viunga vya Deir ez-Zor.
-
Kulazimishwa utawala wa Kizayuni kuondoka kabisa kusini mwa Lebanon
Jan 20, 2025 04:34Kufuatia ziara ya Emmanuel Macron, Rais wa Ufaransa nchini Lebanon, António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa pia amezuru nchi hiyo na kulitaka jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kuondoka kabisa katika maeneo linayoyakalia kwa mabavu kusini mwa Lebanon.
-
Mtandao wa Salon: Marekani na Israel Zinaficha Ukweli Kuhusu Vita vya Gaza
Jan 20, 2025 04:00Mwandishi wa habari mashuhuri wa Marekani ameeleza mbinu zinazotumiwa na Marekani na utawala ghasibu wa Israel kuficha jinai za Wazayuni katika vita vya Gaza.
-
Kwa mara nyingine, HAMAS yaishukuru Iran kwa msaada wake mkubwa kwa Wapalestina
Jan 20, 2025 00:02Msemaji wa Brigedi za Izzuddin Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametoa taarifa muhimu na sambamba na kuishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa msaada wake mkubwa kwa Muqawama na wananchi wa Palestina amesisitiza kuwa, Operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa imetoa mfano wa kipekee wa Muqawama na imeweka historia isiyoweza kufutika.
-
Wapalestina waanza kurejea makwao baada ya kuanza kutekelezwa usitishaji vita Gaza
Jan 19, 2025 23:19Maelfu ya wakimbizi wa ndani wa Gaza walianza kurejea makwao asubuhi ya jana Jumapili baada ya kuanza kutekelezwa makubaliano ya usitishaji vita baina ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na utawala haramu wa Israel.
-
Hatimaye makubaliano ya usitishaji vita katika Ukanda wa Ghaza yameanza kutekelezwa
Jan 19, 2025 09:37Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar imetangaza kuwa makubaliano ya kusitisha vita katika Ukanda wa Ghaza yameanza kutekelezwa.
-
HAMAS: Tumewalazimisha wavamizi kusimamisha uvamizi na uchokozi wao
Jan 19, 2025 08:11Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa: Adui Mzayuni ameshindwa kufikia malengo yake na kulazimika kusimamisha uchokozi wake.
-
Chama cha Ben-Gvir chajitoa kwenye serikali ya Israel kupinga makubaliano ya usitishaji vita Ghaza
Jan 19, 2025 07:10Chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha Nguvu za Kiyahudi (Otzma Yehudit) cha waziri wa usalama wa ndani Itamar Ben-Gvir kimejiondoa kwenye serikali ya muungano ya utawala wa Kizayuni kulalamikia makubaliano ya kusitishwa vita katika Ukanda wa Ghaza.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel akiri kushindwa mbele ya Hamas
Jan 19, 2025 02:38Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Gideon Sa'ar, amekiri kwamba utawala huo umeshindwa mbele ya harakati ya Hamas na kwamba ulishindwa kuwakomboa mateka wake waliokuwa wakishikiliwa huko Gaza.