-
Shambulio kubwa zaidi kuwahi kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukingo wa Magharibi kwa miaka 22 sasa
Aug 29, 2024 03:17Jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel limeanzisha operesheni kubwa ya mashambulio ya kijeshi kaskazini ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, ambayo haijawahi kufanywa mfano wake kwa kipindi cha miaka 22 sasa.
-
Wapalestina waliouawa shahidi Gaza wakaribia 50,000
Aug 28, 2024 11:50Idadi ya mashahidi wa vita vya mauaji ya halaiki huko Gaza yanauyotekelezwa na utawala haramu wa Israel imekaribia 50,000.
-
Uchunguzi mpya wa Amnesty International wafichua jinai za kutisha za utawala wa Kizayuni
Aug 28, 2024 03:15Uchunguzi wa hivi karibuni kabisa wa Shirika la Kimataifa la Amnesty International unaonesha kuwa, utawala wa Kizayuni umefanya jinai zza kutisha na unaendelea kukanyaga kikamilifu sheria na mikataba wa kimataifa.
-
Al Sudani: Utawala wa Kizayuni unafanya jinai katika kivuli cha ukimya wa kimataifa
Aug 28, 2024 03:10Waziri Mkuu wa Iraq amekosoa vikali kimya cha jumuiya ya kimataifa kuhusiana na mauaji yanayoendelea kufanywa na utawala wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.
-
Wanajeshi magaidi wa Israel walioangamizwa Ghaza wapindukia 700
Aug 28, 2024 01:12Televisheni ya utawala wa Kizayuni ilitangaza jana Jumanne kwamba, idadi ya wanajeshi wa dola hilo la kigaidi walioangamizwa kwenye Ukanda wa Ghaza tangu tarehe 7 Oktoba 2023 imeshapindukia 700 kutokana na kuangamizwa wanajeshi wengine kadhaa wa Israel wiki moja iliyopita.
-
Holocaust ya kweli inafanyika katika Ukanda Gaza
Aug 27, 2024 09:36Ikiwa mtu anatafuta mfano halisi wa mauaji ya Holocaust, basi anapaswa kuupata huko Gaza, kwani utawala wa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mbali na kuua moja kwa moja ya raia zaidi ya 40,000, pia umewaweka katika hatari ya kifo manusura wengine wa vita kuua kwa njia isiyo ya moja kwa moja kwa kutumia mashinikizo mbalimbali.
-
Naibu Katibu Mkuu wa Jihad Islami: Marekani ni kikwazo kikuu cha usitishaji vita Gaza
Aug 27, 2024 08:34Afisa wa ngazi ya juu wa harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesema kuwa Marekani ndiyo kikwazo kikuu cha kufikiwa mapatano ya kusimamisha vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Imamu wa Msikiti wa Al-Aqsa: Kauli ya waziri wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa ni hatarishi
Aug 27, 2024 03:29Imamu wa Msikiti wa Al-Aqsa Sheikh Ikrima Sabri amesema, kauli aliyotoa hivi karibuni waziri wa usalama wa ndani wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa ni hatarishi.
-
Maafisa wa UNRWA: Kila kitu cha maafa kinachoonekana Ghaza hakijawahi kutokea
Aug 27, 2024 03:20Maafisa waandamizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina UNRWA wamesema, maafa na masaibu yanayowapata Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza hayajawahi kutokea.
-
Watoto wa Kipalestina wanasumbuliwa na utapiamlo mkali huko Gaza
Aug 26, 2024 22:42Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa maelfu ya watoto katika Ukanda wa Gaza wanasumbuliwa na utapiamlo mkali kutokana na mashambulizi yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katka eneo hilo na kuzuiwa bidhaa za chakula kuingia katika eneo hilo.