-
Ireland, Norway, Uhispania zimetambua rasmi taifa la Palestina
May 22, 2024 07:19Ireland, Norway na Uhispania zimetangaza kulitambua rasmi taifa la Palestina, jambo ambalo limeukasirisha sana utawala haramu wa Israel
-
Putin: Kifo cha Raisi ni pigo kubwa; nitaendelea kuimarisha uhusiano na Iran
May 22, 2024 06:57Rais Vladimir Putin wa Russia ameeleza kusikitishwa na kuhuzunishwa sana na kifo cha Rais Ebrahim Raisi wa Iran na kusema ni pigo kubwa kwa taifa.
-
WHO yatahadharisha kuhusu ongezeko la maambukizi ya magonjwa ya zinaa
May 22, 2024 03:36Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuhusiana na ongezeko la maambukizi ya maradhi ya zinaa.
-
Bendera ya Umoja wa Mataifa yapepea nusu mlingoti kuwaenzi mashahidi wa ajali ya helikopta ya Iran
May 21, 2024 23:19Umoja wa Mataifa umepeperusha bendera yake nusu mlingoti ikiwa ni ishara ya heshima kwa wahanga wa ajali ya helikopta nchini Iran iliyowahusisha Rais Ebrahim Raisi, Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amirabdollahian na maafisa wengine wakuu.
-
Nchi zaidi zatangaza maombolezo ya kitaifa kufuatia kufa shahidi Rais Raisi wa Iran
May 21, 2024 22:52Kufuatia kufa shahidi Rais wa Iran Ebrahim Raisi katika ajali ya helikopta katika eneo la kaskazini-magharibi mwa nchi, nchi nyingi duniani zimetangaza maombolezo ya kitaifa, huku viongozi wa kimataifa wakiendelea kutoa salamu za rambirambi kwa serikali na taifa la Iran.
-
Radiamali ya jamii ya kimataifa kwa ushirikiano wa utawala ghasibu wa Israel na Marekani
May 21, 2024 22:51Wawakilishi wa Misri na Russia katika Umoja wa Mataifa wamesisitiza juu ya ulazima wa jamii ya kimataifa kukabiliana na jinai za utawala ghasibu wa Israel.
-
Russia: Jamii ya kimataifa iendelee kuzishinikiza Marekani na utawala wa Kizayuni
May 21, 2024 08:37Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa jamii ya kimataifa inapasa kuendeleza mashinikizo kwa Marekani na utawala wa Kizayuni.
-
Russia yaishambulia US kwa kukosoa waranti wa kukamatwa Netanyahu
May 21, 2024 03:48Russia imekosoa vikali radiamali hasi ya Marekani kwa ombi la Karim Khan, Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), la kutaka kutolewa waranti wa kumtia nguvuni Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa tuhuma za kuhusika na jinai za kivita katika Ukanda wa Gaza.
-
Viogozi wa dunia waendelea kuomboleza kifo cha Rais wa Iran
May 20, 2024 23:18Viogozi mbalimbali wa dunia wameendelea kutoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais Ebrahim Raisi wa Iran aliyeaga dunia katika ajali ya helikopta.
-
Viongozi wa dunia wasikitishwa na kifo cha Rais wa Iran
May 20, 2024 03:54Viongozi wa mataifa mbali mbali duniani wameendelea kutoa mkono wa pole kufuatia vifo vya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Ebrahim Raisi pamoja na wenzake kadhaa katika ajali ya helikopta iliyotokea jana katika mkoa wa Azarbaijan Mashariki, kaskazini magharibi mwa Iran.