-
Hakan Fidan: Uturuki itaomba kujiunga katika kesi ya mauaji ya kimbari inayoikabili Israel huko ICJ
May 01, 2024 23:06Hakan Fidan Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kuwa nchi hiyo itaomba kuwa sehemu ya kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya Israel. Itakumbukwa kuwa serikali ya Afrika Kusini imefungua kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na mauaji yake ya kimbari huko Gaza.
-
Blinken aitolea wito Hamas ikubali 'pendekezo barabara sana' la kusitisha vita Ghaza
May 01, 2024 07:46Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken ameitolea wito Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ikubali pendekezo la makubaliano ya kusitisha mapigano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Russia yaruhusu wanawake Waislamu wanaoomba uraia kutumia picha za vazi la Hijabu
May 01, 2024 07:22Serikali ya Russia imelegeza masharti ya kanuni zinazohusu maombi ya raia wa kigeni wanaoomba uraia, na itaruhusu mwanamke wa Kiislamu kutumia picha za paspoti zinazomuonesha akiwa amevaa vazi la staha la Kiislamu la Hijabu. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi hiyo.
-
UN: Ukatili wa polisi ya Marekani dhidi ya watetezi wa Palestina unatia wasiwasi
May 01, 2024 03:49Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi wake juu ya unyanyasaji wa polisi wa Marekani dhidi ya wanafunzi wanaoiunga mkono Palestina.
-
Russia yalaani sera za kinafiki za Marekani kuhusu uchunguzi wa mahakama ya ICC dhidi ya Israel
May 01, 2024 03:24Russia imekosoa vikali sera za kinafiki na kindumakuwili za Marekani kutokana na kupinga uchunguzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuhusu uhalifu unaofanywa na Israel katika vita vyake vya miezi kadhaa dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza, na wakati huo huo inaunga mkono hati ya kukamatwa Rais Vladimir Putin iliyotolewa na mahakama hiyo hiyo.
-
Maandamano ya kuiunga mkono Palestina yaendelea katika miji tofauti duniani
May 01, 2024 03:20Wananchi wa miji tofauti ya dunia kwa mara nyingine wameandamana kuwatetea wananchi madhulumu wa Palestina na kulaani jinai za utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Mwanasiasa mkongwe wa Uingereza: Sheria ya Rwanda inaharibu sifa ya Uingereza
Apr 30, 2024 07:40Alfred Dubs mwanasiasa mkonge ambaye ni mjumbe katika Bunge la Malodi la Uingereza amesema kuwa mpango wa kuhamishia nchini Rwanda kutoka Uingereza raia wanaotafuta hifadhi si sahihi na hautafanikiwa.
-
Wanachuo wanaoitetea Palestina Marekani watiwa nguvuni Texas, wasimamishwa masomo Columbia
Apr 30, 2024 04:18Polisi nchini Marekani wamekabiliana na wanafunzi wa chuo kikuu katika mji wa Austin jimboni Texas, na kuwakamata makumi ya watu baada ya kubomoa mahema yaliyowekwa kupinga na kulalamikia vita vya kinyama na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ghaza.
-
UN: Kombora la balestiki la Korea Kaskazini limetumika kushambulia mji wa Kharkiv, Ukraine
Apr 30, 2024 03:51Wachunguzi wa vikwazo wa Umoja wa Mataifa wameiambia kamati ya vikwazo ya Baraza la Usalama la umoja huo kuwa, mabaki ya kombora yaliyopatikana katika mji wa Kharkiv nchini Ukraine mnamo Januari 2 yanatokana na kombora la balestiki la Korea Kaskazini aina ya Hwasong-11.
-
Watu watatu wauawa kwa kupigwa risasi katika jimbo la North Carolina Marekani
Apr 30, 2024 03:51Watu watatu wameuawa katika ufyatuaj risasi uliotokea katika jimbo la North Carolina nchini Marekani.