Tamasha la kimataifa la wasoma Kasida lafanyika visiwani Zanzibar + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i49222-tamasha_la_kimataifa_la_wasoma_kasida_lafanyika_visiwani_zanzibar_sauti
Tamasha la kimataifa la Kasida limefanyika kisiwani Unguja huko Zanzibar kwa kushirikisha munshidi kutoka ndani ya Zanzibar na nje yake bali hata kutoka nchini Oman. Maelezo zaidi yamo katika ripoti ya matukio ya Kiislamu iliyoandaliwa na mwandishi wetu Harith Subeit...
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Nov 03, 2018 04:41 UTC