Mbunge 'Jaguar' anyimwa dhamana nchini Kenya + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i54424-mbunge_'jaguar'_anyimwa_dhamana_nchini_kenya_sauti
Mahakama nchini Kenya imemnyima dhamana, Mbunge wa eneobunge la Starehe jijini Nairobi Charles Njagua maarufu kwa jina la ‘Jaguar’ ambaye alikamatwa hivi karibuni na jeshi la polisi la nchi hiyo baada ya kutoa kauli ya kibaguzi dhidi ya Watanzania, Wachina na Waganda wanaoishi katika nchini hiyo mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Mbunge huyo atasalia korokoroni hadi pale kesi yake itakaposikilizwa tena. Mwandishi wetu wa Mombasa, Kenya Seifullah Murtadha ana maelezo zaidi......
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Jun 28, 2019 12:43 UTC